What makes aircrafts fly? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

What makes aircrafts fly?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mtazamaji, Jan 12, 2011.

 1. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Do u know the forces or can u explain what makes an aircraft to fly?


  Application of Newton Third Law of Motion in Jet engine


  Nondo zaidi.
  So have u got the answer what makes an aircraft to fly ???????

  Nawasilisha
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Oops nimekosea njia :car::car: :car: :car:
   
 3. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hiyo ya tatu ni kama wanajadili zaidi Coanda Effect.  Warusi wakaja na utundu wa kutengeneza Visahani vinavyoruka....  Vinaonekana kama hama hapa chini na wanaziita TARIELKA ama Sahani.


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mimi nimeelewa mabawa ndiyo yanawezesha ndege iruke. Je niko sahihi.?
   
 5. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Pitia hii link utapata basics skills za jinsi parts mbalimbali za ndege na kazi zake na ndege yenyewe kwa ujumla, ila yahitaji uwe na mda na nia ya kutaka kujua, kwani itakuchukua mda kusoma mambo yote

  Parts of Airplane
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Thanks kamanda ngoja nisome some mambo mapya. naona hapa hesabu at its best mambo ya geometry.

  Ndege za zamani mbawa yake yalikuwa hayajajikunja mwishoni. Siku hizi naona mabawa ya ndege yamekunjwa mwishoni. Hicho kidude kinaitwa winglet nasikia kinaokoa consuption ya mafuta sana .

  Habari nyingine nimesoma katika hatari au dharura kama crash landing abiria wanao kuwa nyuma yaani mkiani ndio wana probability kubwa zaidi ya kupona au kupata madhara kidogo sababu impact sehemu ya nyuma sio kubwa.
   
 7. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #7
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Ukiangalia zile SAHANI za Warusi na kama sikosei USA nao wanafanya utafiti upande huo, hazina mabawa.

  Kwenye Ndege si MABAWA peke yake ndiyo yanasaidia ndege iruke. Kusema ukweli ili ndege IRUKE, ni injini ndiyo inayoipeleka ndege mbele wakati TUNDU la INJINI likirusha upepo mkali kwa nyuma na hapa New Law of Motion inaanza kazi yaani Nguvu inayokwenda nyuma ni sawa na nguvu inayokwenda mbele.

  Ndege ikishafikia speed fulani, ndiyo yale Mabawa yaanaanza kazi yake sasa. Mabawa pia hutumia kama BREAK wakati ndege inatua au ikishatua tayari inatumia kupungua speed yake. Ukija kuwa ndani ya ndege, angalia kwa nje na utayaona yakiwa yamejipinda na kuwa kama UKUTA na hapo kutumia UPEPO kusimama. Kuna vile vidude kwenye mabawa ndipo ipo ile mechanism ya kufanya hivyo.

  Ila ndege kama umeshaona, huwa inanyenyuka kwa mbele na itafanya hivyo hadi ITUE ardhini. Ni kuwa hata TUMBO la ndege pia hutumia kutengeneza AERODYNAMIC kama ile ya COANDA EFFECT. Coanda Effect unaweza hata wewe kujaribu. Chukua kijiko na kichike kwa juu kabisa na kisogeze kwenye sehemu maji yanamwagika (tape water) katika pande mbili. Sogeza taratibu na utaona kuna upande KINAVUTWA.

  Ukiangalia Warusi ambao wana deal zaidi na Coanda, utaona ndege zao za jeshi kama MIG, zimekaa umbo la Swila (cobra). Hili umbo ukiliangalia sana ni kama KIJIKO. USA wana lile dege lao limekaa kama SAMAKI au Sahani na wao hapo wanakwenda zaidi kwenye Coanda Effect.

  Wajeruman waligundua umbo hilo la BAWA au shape ya ndege kwa kufanya mbele kuwa kupana na nyuma kwembamba kwa kuangalia tone la MAJI au CHOZI. Linapoanguka, huwa linachukua umbo hilo na wakaona kuwa linachukua umbo hilo ili iwe rahisi kuanguka hasa ukichukulia kuna AIR FRICTION. Ndipo wakaja na wazo la KULIKATA chozi hilo NUSU na wakapata umbo kama la CHURA na wakatengeneza Body ya GARI na KUIITA PORSCH Sports car. Sina uhakika kama VW kobe walikuwa na wazo hili pia maana kilikuwa na kiwanda na mtu na mwanaye.

  [​IMG]

  Submarines na wao wamechukua umbo hilo la TONE LA MAJI linalodondoka....
  [​IMG]

   
 8. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kila ndege nahisi ina kitu cha ziada tofauti kinachosaidia iruke.
  kitu cha kwanza iwe na injini yenye kasi kubwa.
  kuna ndege zenye propera na boeng zinazotegemea jet,
  na vyote hufungwa kwenye mabawa ya ndege. sasa kila aina ya ndege ina kitu chake cha kuifanya iruke.
  nimeshindwa kuattach picha maana zina ukubwa sana.

  nawasilisha
   
 9. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #9
  Jan 12, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  ........
  Ok sawa nimekupata mimi mbona nimeelwa kuwa engine inapeleka ndege mebele lakini kinachofanya ndege iweze kuruka au kuelea ni mabawa.

  Hapa niko specific kwenye teknolojia ya ndege maana hata helicopter ay hivyo visahani havina mabawa lakini vinaruka.

  na link aliyotoa jamaa juu hapo wanasema hivi
  Ila nakubali maelezo kuwa si mabawa pekee yanayofanya ndege iruke but ni mabawa yanayofanya ndege ipae na ieleee anagani..

  Wanasema kuna four forces behind aircraft technology Lift, Trust, drag na weight . Sasa kwenye hizi ndege lift inakuwa provided na mabawa. Ndiyo mana bora engine ya ndege iharibike kuliko bawa kuharibika.

  Tuendee kujadiliana
   
 10. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #10
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ndege ina injini ngapi?
  zaidi ya moja.injini ni muhimu na mabawa ni muhimu kwenye urukaji wa ndege na vinategemeana.
  kabla ndege haijaruka huwa injini inatengeneza speed kwanza ikisaidiwa na injini mota zilizo kwenye mabawa.baada ya kufikia ile speed inayohitaji kwa kiwango cha km zitakazokwenda juu toka usawa wa bahari.hapo sasa mabawa yatakua na kazi ya kusapoti ile spidi mwendo wote wa safari,kama ni kwa propela ama la.

  hii ni kwa ujuzi kidogo wa ATR na Boeing, sijui kwa Airbus kama in apply.
   
 11. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #11
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mtazamaji,

  Mie nilitaka UELEWE zaidi ya hayo maelezo kuwa NI MABAWA.

  Mabawa yanasaidia tu kuleta shape ya KIJIKO.

  Vyombo vyote vinavyoruka ukiacha Helcopiter, rockets........ vinajengwa ili viwe na SURA YA KIJIKO na hapo kufanya AIR FLOOR na PRESSURE iweze kuinyenyua ndege au hicho chombo.

  Ukiangalia hata maelezo wameandika kuwa MOSTLY. Umbo la ndege nalo linasaidia sana tu kuiweka ndege angani. Ndiyo maana ukiwa angani hasa MAPIPA makubwa, utagundua kuwa siku zote ndege inakuwa mbele iko juu kuliko nyuma. Wanatumia UVUNGU wa ndege kwa kama ilivyo chini ya kijiko na kwa juu kuliko na mgongo ndiko ndege inakuwa INAVUTWA JUU.

  Tafadhali kajaribu kwanza kama unaweza kusogeza KIJIKO kwenye MAJI YA TAPE kama ile video inavyoonyesha. Utagundua nini ninasema. Kwa hiyo kusema ni MABAWA tu si kweli. Cha muhimu hapa ni SHAPE ya Mabawa na Ndege yenyewe ndiyo inafanya ndege iwe angani.

  Ukiigeuza ndege juu chini na uweke INJINI, inaweza isiruke ingawa kila kitu kipo. Kisa ni AERODYNAMICS zitagoma. Angalia ujumbe wa kwanza video ya 3 utaona Air floor inavyokuwa.

  Ndiyo maana kwenye UJENZI, MAJENGO MAREFU yanakuwa na FLAT ROOFS. Yakiwa na Kimgongo kwa juu, unapata COANDA EFFECT. Kumbuka juu kuna upepo mkali sana. Ule upepo unaweza kulibeba paa kirahisi sana kwa sababu upepo wakati unapita, unapindishwa na kuwa Compresed na ukifika upande wa pili wa PAA, unakuwa na nguvu kubwa sana na kuling'oa paa lote.

  Ukiielewa hii THEORY VIZURI, inakuwa ni rahisi sana kujua mabawa yanasaidia kwa kiasi gani na umbo la ndege kwa kiasi gani. Tafadhali angalia tena na tena COANDA EFFECT na kutoka hapo UTAKUWA UMEELEWA kwa nini ndege INARUKA na Mabawa yaanzia wapi kazi.

  Naweza nikasema kuwa MABAWA yanasaidia NDEGE IELEE angani na kuruka zaidi ni INJINI. Ndiyo maana zikizimika, ndege inaanguka ila kama ndege tayari ina speed kubwa, na iko Juu sana basi huwa inaweza kwenda mbali sana na hapo inatumia tu Mabawa bila injini kama zilivyo GLIDER au SAILPLANE. Sema kwa sababu ndege ni Nzito, inaanguka haraka ila si kuwa itaanguka palepale.

  Kwa hiyo, KUPAA kwa ndege ni INJINI zaidi inafanya kazi ila KUELEA kwa Ndege angani ni SHAPE ya ndege au chombo na hapa MABAWA yanaanza kazi yake na umbo la ndege kwa ujumla kwa kesi ya zile SAHANI zinazoruka. Samahani naandika haraka maana inabidi nikimbie. See you.......
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  Jan 12, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Powa kamanda mjadala mzuri sana inapenddeza tukijaribu kudadisi na kujaribu kuzifahamu a teknolojia nuingine zaidiy mambo ya software na hardware.
   
 13. P

  Prime Dynamics JF-Expert Member

  #13
  Jan 12, 2011
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 524
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  The wings of the aircraft cause it to fly. The wings are tilted slightly upwards, which causes air passing above them to speed up, while air passing below slows down. Because of this, the flow of air is twisted downwards behind the wing, producing a huge swath of downward-moving air, the "downwash." The force exerted by the wings to pull all this air downwards is resisted by the air, which tries to push the wings upwards instead. This upwards push is lift, and it is what supports the airplane.
   
 14. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #14
  Jan 13, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  katika sms soma soma nimekutana na some amazing and interesting facts

  Comparing mode of transport
  chanzo HowStuffWorks "How Helicopters Work"
   
 15. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #15
  Jan 13, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mtazamaji,

  Nimekuomba sana ujitahidi kusoma na kuelewa na ndiyo utaelewa MSINGI wa ndege kuruka na kutua.

  Huyo aliyeandika hayo maneno ni KILEMA kabisa aliyekariri.

  Hebu angalia hii ndege na nisikie utasema nini......... Naenda kulala, kesho.

  Kama sikosei Ni UK ndiyo walianza haka ka mchezo ka ndege kuruka VERTICAL na kutua hivyo.

  Ila hii ninayomalizia ndiyo FUNGA KAZI. Angalia na ucheke mwenyewe....... Ile theory juu inakataa....

  Ndiyo maana nikasema yule mwandishi alikariri............hahahahaha :)

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. birungi

  birungi JF-Expert Member

  #16
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 388
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  What Makes An Airplane Fly - Level 1

  [​IMG]
  For an airplane to fly, it must always engage in a tug of war between the opposing forces of lift versus weight and thrust versus drag.
  For a moment, think of an airplane moving from right to left and the flow of air moving from left to right. The weight or force due to gravity pulls down on the plane opposing the lift created by air flowing over the wing. Thrust is generated by the propeller and opposes drag caused by air resistance to the airplane. During take off, thrust must be greater than drag and lift must be greater than weight so that the airplane can become airborne.
  For landing thrust must be less than drag, and lift must be less than weight.
  THE FOUR FORCES ACTING ON AN AIRPLANE

  [​IMG]
  An airplane in flight is the center of a continuous tug of war between four forces: lift, gravity force or weight, thrust, and drag. Lift and Drag are considered aerodynamic forces because they exist due to the movement of the aircraft through the air. The weight pulls down on the plane opposing the lift created by air flowing over the wing. Thrust is generated by the propeller and opposes drag caused by air resistance to the frontal area of the airplane. During take off, thrust must overcome drag and lift must overcome the weight before the airplane can become airborne. In level flight at constant speed, thrust exactly equals drag and lift exactly equals the weight or gravity force. For landings thrust must be reduced below the level of drag and lift below the level of the gravity force or weight.
  [​IMG]

  dondoo kidogo.
   
 17. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #17
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kuna nadharia mbili zinagongana ktk maelezo ya kwa nini ndege inapaa. Lakini ni kwamba ndege inapofikisha vigezo fulani inahama kutoka Law of gravity na kuwa ina obey the Law of aerodynamics. Ndio maana mambo angani yakienda ndivyo sivyo inarudi ku obey the Law of gravity....inashuka chini na ajali inatokea!
   
 18. redSilverDog

  redSilverDog JF-Expert Member

  #18
  Jan 13, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hebu imagine babu zetu elimu ya sayansi ilivyokuwa ya juu! wameanza kuruka tangu enzi izo hizooo, tena na ungo tu!
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Jan 13, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Badala ya kujiuliza Ungo unaruka vipi nyinyi mnauliza ndege inaruka vipi?
   
 20. YeshuaHaMelech

  YeshuaHaMelech JF-Expert Member

  #20
  Jan 13, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 2,624
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa sababu hiyo siyo sayansi ni uchawi na hili sio jukwaa la uchawi!
  Back to the topic, link hii ya kuelezea post yangu hapo juu:
  How Airplanes Fly
   
Loading...