Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
- Thread starter
- #21
Kuna nadharia mbili zinagongana ktk maelezo ya kwa nini ndege inapaa. Lakini ni kwamba ndege inapofikisha vigezo fulani inahama kutoka Law of gravity na kuwa ina obey the Law of aerodynamics. Ndio maana mambo angani yakienda ndivyo sivyo inarudi ku obey the Law of gravity....inashuka chini na ajali inatokea!
kweli kabisa sasa nimesoma soma nimeona kuwa ndege ikiwa juu injini moja ikipata tatizo inaweza isiwe isssue lakini bawa la ndege likipata hitilafu kubwa basi ndege itashuka au kudondoka .Je ni kusema hizi commericial aircraft balance au centre of gravity yake inategemea zaidi mabawa ?
Redsilverdog said:hebu imagine babu zetu elimu ya sayansi ilivyokuwa ya juu! wameanza kuruka tangu enzi izo hizooo, tena na ungo tu!
Hahahhaa umenifanya nicheke sana hivi kwa nini hakuna formal researches katika area hii maana hiii ya sayansi ya kijadi . imekuwa theory zake ziko gizani kwa karne nyingi. Wataalam wa social science kwanini wasivalie njuga
teh teh teh