What is your "Sweetest" Childhood Memory?? THAT It made you feel So Good and Speacial!

mama used to take me to the movies....dah sitasahau,miaka ya katikati na mwisho ya 80's,..cameo,avalon,empire,empress yalikuwa yananijua kwa jina,..ukirudi kitaa watoto wenzangu walikuwa wanakoma,nitahadithia movie nzima ya kihindi hadi maneno yake...disco dancer nimeicheki kwa mara ya kwanza cinema(empire)87 au 88,..i will pass that ho b by( cinema going)to my unborn child...good ol days...childhood days will always stay on my mind...thank you mama!!......


Salam Namaste Nyabingi.... naona wewe ni mzee wa Kuch kuch hottai....lol..

This post is soooo sweet!!! Asante mama Nyabingi for being a good mama.... Na live up to your promise aise... inaweza isiwe movie lakini ikawa another thing for sio lazima upande wa Cinema... time zimechange..... Cinema ain't what it was a long time ago... Thank you for sharing dear....
 
Salam Namaste Nyabingi.... naona wewe ni mzee wa Kuch kuch hottai....lol..

This post is soooo sweet!!! Asante mama Nyabingi for being a good mama.... Na live up to your promise aise... inaweza isiwe movie lakini ikawa another thing for sio lazima upande wa Cinema... time zimechange..... Cinema ain't what it was a long time ago... Thank you for sharing dear....

AD,I truly love you dear
 
Mi nimelelewa na mama...
I loved my mom...
J'mosi ya kila wiki asubuhi ananipeleka shopping... Not necessarily kuninunulia vitu,but hata vitu vyake mwenyewe...ila mimi companion wake... Sijui ndiyo maana nami nimedevelop hobby ya shopping?!

I wish it could come back again... Na nilikuwa mwoga wa sindano..na njia ya kwenda Mnazi Mmoja health center kutokea nyumbani,ilikuwa lazima upite "Bakhressa" pale Livingstone...kwa hiyo nikiwa na sindano za masaa tu namlazimisha kuwa anipromise tukishachoma aninunulie "ice cream",au baadaye kukaja "milk shake"...

Can't forget those moments..

Jamani.... another post on a wonderful Mom.... inanifanya nitafakari if I am doing the same thing for my son.... Kwamba na yeye siku moja somewhere ambako hamna anae nifahamu atasimulia haya mnayo simulia hapa. I guarantee you huko your mom would be very proud if she reads this post..... Thank you for sharing Gamba chovu..... be good to all the women basi in courtesy of your mama.... Pamoja saana.
 
Ila tatizo nahisi kama umeolewa na wakaka wawili.
Afu kukiwa na harusi mtaani kwangu ntakushtua tumtunze wifi japo madera na khanga za india aisee, si unaona wanamgombea?
Hehehe! Unatamani angekuwa wifi ako eeh? Huna bahati manake kaka zake wote tumewamaliza mimi na King'asti!
 
Mimi kumbukumbu yangu ni wakati nacheza mpira; Skuli tulikuwa na league kabisa; YANGA, SIMBA, SIGARA, MAJI MAJI etc and perfomance za hizi timu zilikuwa zina reflect kabisa performance ya wakati huo ya ligu kuu ya Tanzania; mimi nilikuwa nacheza kama left winger, number 11, kipindi hiko walikuwa wananiita EDIBILY JONAS LUNYAMILA! na nilikuwa natumbuiza na kunyanyasa watu haswa na lefti...

those were my golden memories... there was a time i was waking up in the morning for this; ila nilikuwa mzuri kwenye buku pia kwahiyo hata darasani nilikuwa number 1, otherwise nisingekuwa hapa leo;
 
Asha nime noti kitu kimoja hapa,mboko.Scoffield,Nasikini jeuri,Nitonye et al wanaongelea experience ya kulambwa mboko utotoni,Scoffiel na Maskini Jeuri wana appreciate faida ya mboko hizo. I happen to be mmoja wa ambao hawakupigwa na mama wala baba na wanangu ( eldest in mid 20's anajitegemea,youngest teeneger) na maishani mwao sijawahi kuwagusa na bakora na mama zao huwa nina wa discourage kuwachapa wanangu.
Do me a favour,ukipata muda shusha uzi maalum tujadili pros na cons za malezi haya ya bakora vs non bakora ( I for one i treat it as domestic violence)


Call it Domestic violence unaweza kuwa kiasili wewe sio adventurous na hii ikienda unchecked utotoni it creates mischievous nature ambayo nayo isipokuwa unchecked unakuwa mtukutu kupindukia.........so mboko zinaweza zisi apply nakubaliana na wewe lakini si katika mazingira niliyokulia mimi huko uswazi kwenye magenge ya watoto wenye tabia toafauti na mvuto tofauti na ushawishi tofauti..........Huwezi amini my son simpigi hata mwaka mzima............but nimewahi mchapa kidogo .........kucheck kitabia kibaya kilichotaka kujitokeza!
 
Back
Top Bottom