what is your nick name???..... forget about your id.. lets chill here!


"che mwali" ndo ilikuwa niknam yangu
 
Last edited by a moderator:
hahahaha, madame kijungu huyo.
 

Mwali huyo!! Malkia wa nyuki ning'ate mimi tafadhali.
 
Last edited by a moderator:
Swiro, fanta, wa kuuchuna, maringo, mama R, Mrs. U..., chotara wa kinyamwezi na kibondei, mrembua macho..... nyingine kapuni, ila hasbendi huwa ananiita mama kibakuli au bi mkora kitachofuata hapo ni kutoka natembea migulu baja baada ya jupata bakora za kutosha looh
 

natamanigi niwarukie wanawake wa hivi.. jicho kungwi! dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…