Mkuu kuna mazingira tulikulia unaweza kula ugali tu na maziwa mgando,aisee maziwa mgando matamu sana,kwanza mi naona ugali unalika kwa kila kitu,mboga za majani,maziwa,kachumbari,nyama,watu siku hizi mpaka wanakula ugali na sosejOff cause umuhimu wa mboga za majani katika mwili hauna mjadala, tatizo hapo ni kachumbari! kama unahitaji kulala mchana huna haja ya kufakamia pillton,just kula kachumbari ya kutosha utapata majibu.Mie ni mpenzi mkubwa wa ugali,naweza kuula mwaka mzima wewe nibadirishie mboga tu tena maziwa mgando baridi glas moja pembeni inakuwa vema zaidi.
ugali
![]()
Dah mkuu ila kisamvu kura process mpaka utwangwe au kusagwa,ila sijui kikwenu mnapika mazima mazima?
ushawahi kula ugali na nyama zililizochanganywa na mchicha?
hiyo miguu we hujui style yake ya kula,unakula tu huku juu huko kwenye makucha unaacha au unang'ata nyama ile katikati ya vidole(yaani kiganja cha mguu)