Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,341
- Thread starter
- #41
zamani zamani tu kwanza mbonga za majani zilikuwa za aina nyingi,za pori au za kupanda,sasa hivi hamna hiyo kitu,mi nilikuwa napenda sana ugali mnafu mana mnafu ni chungu na uchachu ila sijui inakwaje ni raha unapokula na ugaliOfukozi
Ujue zamani ndio ilikuwa dizaini ya upishi kama nyama ipo kidogo
Sijui ilisababishwa na watoto kuwa wengi, ili nyama itoshe inachanganywa na mchicha au kabechi sometimes
Ila nilikuwa naichukia jamani