Corolla![]()
Sil matangoKaza dogo, mbona unaandika kama unataka![]()
Mswalie mtume ustaadh!😂😂😂😂Utasikia kanasema "babu(y) ntoe baLidi🤣
Hata dawa iliyochemka?Maana huwa tunawaambia dawa zao zipo jikoni zinachemka!Vina kiranga hivyo..! Halafu havisikii dawa🤣🙌🏿🏃🏿
Dream big sis 😂Corolla![]()
Chombo ya fundi iyo
Siijui hata ikoje! Nilifurahishwa tu na chalamilla 😁Nimewahi kumiliki corolla DX Wagon manual, leaf spring nyuma, 4e engine magneto. Mpaka leo kopi ya kadi ninayo. 😊
Sitaki😁Dream big sis 😂
Sitaki😁
Nataka cx5😌
Umeona eeh! Looks good on me😌CX-5 Mazda wewe itakufaa sana. 😊