Mad Max njoo huku anga lako hiliVehicle protection gurus,
Nahitaji Car security system yenye functions 3 at once. Iwe na Alarm, Gps tracker, na Kill Switch.
Zinapatikana?
Nina miaka zaidi ya 25 sijaendesha gari linalohitaji kuwekwa security system. I have no clue.
Tabu zote za nini hizo, nunua gari namba A tu. Liwe zuri utapaki kokote. Hamna mtu anahangaika na gari namba AVehicle protection gurus,
Nahitaji Car security system yenye functions 3 at once. Iwe na Alarm, Gps tracker, na Kill Switch.
Zinapatikana?
Ndiyo, zipo. Kuna car security systems zinazounganisha Alarm + GPS Tracker + Engine Kill Switch kwenye mfumo mmoja. Mara nyingi zina SIM card na zinaweza kudhibitiwa kupitia app/SMS.Vehicle protection gurus,
Nahitaji Car security system yenye functions 3 at once. Iwe na Alarm, Gps tracker, na Kill Switch.
Zinapatikana?
Ndiyo, zipo. Kuna car security systems zinazounganisha Alarm + GPS Tracker + Engine Kill Switch kwenye mfumo mmoja. Mara nyingi zina SIM card na zinaweza kudhibitiwa kupitia app/SMS.
Muhimu ni kuhakikisha installer anaweka kill switch kwa usalama bila kuathiri mfumo wa gari.
Mkuu, kuna brands kama Cartrack na Bongo Tech zinazotoa GPS tracking yenye alarm na engine cut-off. Kwa Dar unaweza kuwapata kupitia ofisi zao/mawakala. Kama unataka device ya 3-in-1 specifically, hakikisha umeuliza Alarm + GPS + Immobilizer/Engine Kill kabla ya kununua.Mkuu, brand gani hiyo security? Naipata wapi?
Mkuu, kuna brands kama Cartrack na Bongo Tech zinazotoa GPS tracking yenye alarm na engine cut-off. Kwa Dar unaweza kuwapata kupitia ofisi zao/mawakala. Kama unataka device ya 3-in-1 specifically, hakikisha umeuliza Alarm + GPS + Immobilizer/Engine Kill kabla ya kununua.