Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,519
- 98,829
Hilly chilly!Amazing ageView attachment 3614149
Hilly chilly!Amazing ageView attachment 3614149
An altar brew rather not altar wine!😀😀😀 hivi ni pombe au ni bia?
Dah hii kitu inaitwa bia nimeshindwa kuacha solution hapa nikuishiwa tu bwashee 💔😀😀😀 hivi ni pombe au ni bia?
Your ears gonna be zingzonging like stinging bees!Nzeeeee!Have you left alone the CMS /Castle Milk Stout?Wanna test this sip😋
The buddies alike!
The very soft touches!
Gari ya kazi kazi, haichagui kazi, mjini au kijijini twende kazi, gari ina roho ngumu sana hiiMnyamakaziView attachment 3614144kambi popote
Yana roho ngumu sana, gari ya maana kabisa kwa terrain zoteYale madude ni heavy duty kwelikweli!
We mang umeanza kuzingua bas umekutana na mswahil na hapa patanuka leoKaache hako kana stress ya maisha ya kukachapa , wala situmii nguvu, maisha yanakabonda katajifia kifo cha asili tu bwashee
Wewe ni mdogo wangu , lazima nikupe maelekezo , nakumbuka nilikupa ushauri mkubwa ukapuuzaWe mang umeanza kuzingua bas umekutana na mswahil na hapa patanuka leo
Nikifa inakuhusu na nn ama utafaid kipKaache hako kana stress ya maisha ya kukachapa , wala situmii nguvu, maisha yanakabonda katajifia kifo cha asili tu bwashee