Nilivyoandika "vee wee" kuna wakuu wakajua nimelipa mahela nimeagiza Tesla.D
Dah! Umenikumbusha mbali Sana.. Senior alikuwa nalo. Tulivimba nalo Sana🤣View attachment 3614001View attachment 3614002
Hapo bado "merke dee"!😂Tuliyaita VIMBA WEWE!
Na ndio chalamila wenu hazitaki! anasema ni takataka!
Huyo ni Mghana/Mnigeria aliyechoka na nyuma lazima imeandikwa "God's will no appeal"!
Hawa ndio RC hawataki kabisa kuwaona! watatukanwa sana!Ni ukimbukeni tuu aende kongo akajioneeeView attachment 3614028
Kuna moja tuliita "Super Torino" fiat ilifanana na hiyo.Quite a long, aiseee!Make ya Ufaransa hiyo hapo kinachofanya kazi ni engine na break na upepo. Vingine majaliwa😂
Kazi ipo, halafu kana shobo za kikuda haka kadogo!Wewe ndio wakumuambia legend mshana utoto raha? Seran Ona ile mtura imeanza ngebe
View attachment 3614032
like how long?Kuna moja tuliita "Super Torino" fiat ilifanana na hiyo.Quite a long, aiseee!
Haka tulikaacha sana mpaka kakajenga kofidensi ya kipumbavu tulitakiwa tukamezee MISO mapemaKazi ipo, halafu kana shobo za kikuda haka kadogo!
Yai lishakomaa ngoja kalione jua katapoa tu! wamejitokeza macuzzo wake ni kasheshe!Haka tuliakaacha sana mpaka kakajenga kofidensi ya kipumbavu tulitakiwa tukameze MISO mapema
Tukawekee sumu kafe au tukaache kafe kifo cha asili?Yai lishakomaa ngoja kalione jua katapoa tu! wamejitokeza macuzzo wake ni kasheshe!