What is wrong with me?

What is wrong with me?

Hi JF..... idk what is wrong with me jaman....yani i get angry with no reason....hata sijui kwanini....and i just hate everyone who is around me....i hate every person i see....yani nna hasira za ovyo ovyo tu....

Naona kila mtu ni fake ...idk...sielewi....ni kama i wanna be alone...yet ni kama i wanna be around people and have some fun....
Kama vile ni exit all the whatsapp groups....ni kama vile i wanna block everyone...

Sijui nifanye nini ...
Una mimba au hormones haziko poa.
Punguza kula nyama nyekundu
 
Am 22....sina mume...namalzia chuo...sijaajiriwa...

@22 Soma kwanza tafadhali-hiyo tabia ni safi isipokuwa umekosa rafiki sahihi. Kitabu,kitabu alah! Nataka kusahau je waishi karibu na maktaba? Kama ndiyo hamishia kitanda huko😛😛😛😛😛😛.
Anyway your on the right track at this stage keep moving.
 
Sawa...
 
Back
Top Bottom