jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
Hahahaaaaaa hamnagaDawa yako iko jikoni mamii,safari hii Stunter ndio atachoma mahindi mpaka yaungue.
Hahahaaaaaa hamnagaDawa yako iko jikoni mamii,safari hii Stunter ndio atachoma mahindi mpaka yaungue.
Sasa unaweza kusema ni njia gani mtu anaweza kuitumia kukutuliza pindi ukishikwa na hasira?Hata mm ni mmojawapo
Anipe helaSasa unaweza kusema ni njia gani mtu anaweza kuitumia kukutuliza pindi ukishikwa na hasira?

SantePole
Mi nilidhani kuwa akupe chakula..maana ikichachamaa maana yake unakuwa na njaa?Anipe hela![]()
Mi nilidhani kuwa akupe chakula..maana ikichachamaa maana yake unakuwa na njaa?
hata pesa ni mloYou're welcome!Sante
Amen....santeDuu pole bt jipe moyo utayashida
yeah.unadhani namba ya miaka ndiyo inaondoa u kiddish wako?22 a kid???
JINI LINATAKA LIKUINGIEHi JF.....![]()
![]()
![]()
idk what is wrong with me jaman....yani i get angry with no reason....hata sijui kwanini....and i just hate everyone who is around me....i hate every person i see....yani nna hasira za ovyo ovyo tu....
Naona kila mtu ni fake![]()
...idk...sielewi....ni kama i wanna be alone...yet ni kama i wanna be around people and have some fun....
Kama vile ni exit all the whatsapp groups....ni kama vile i wanna block everyone...
Sijui nifanye nini![]()
![]()
...
LishindweeeeJINI LINATAKA LIKUINGIE
Amen...Poleee Yesu jibu la kweli
Haya...Yaonekana ulideka wakati wa makuzi,wanaopata matatizo kama yako no wale waliodeka,wanapotoka kwenye mazingira hayo wanaona kila kitu ni kibaya lakini vinginevyo mbona poa tu! Ushauri mtafute Rafiki wa karibu alive bize mda mwingi
na ufanye anayofanya.
Kumbe wewe umegeuza huo ni mradi..teh.![]()
![]()
hata pesa ni mlo
Hahaha hapana buana...Kumbe wewe umegeuza huo ni mradi..teh.