What is wrong with me?

What is wrong with me?

Wamekusikia watakufata...
Kitoa uzi baada ya kupata dawa aka jekenge aka msonobali aka dyudyu na kupona,kasahau kwamba alipokuwa na "mangale" yake alikuja kutulilia humu/watu wakajitoa kwa hali na mali kama sio mpaka ufahamu.K
1475453892196.jpg
upigwa show kakimbia kimya kimya wallah binadamu sisi tuna balaa kubwa hahahahahahaaa.....
 
Kitoa uzi baada ya kupata dawa aka jekenge aka msonobali aka dyudyu na kupona,kasahau kwamba alipokuwa na "mangale" yake alikuja kutulilia humu/watu wakajitoa kwa hali na mali kama sio mpaka ufahamu.KView attachment 411141upigwa show kakimbia kimya kimya wallah binadamu sisi tuna balaa kubwa hahahahahahaaa.....
Si kweli.
 
Am 22....sina mume...namalzia chuo...sijaajiriwa...

Ukimaliza chuo mostly wale watu walokua wanakujali kipindi upo chuo wanapotea, no one calls you unaweza usipigiwe/text siku nzima hata nduguzo wanakupotezea kama wanakusaliti vile, hawakupi hela wala hawakusaidii kupata kazi so unajikuta unawaona watu wanakusaliti unfortunately unaanza kuwachukia. I've gone through such a situation ajabu ukipata kazi woooteee wanarudistay calm beloved the best is yet to come. Ukiwa bored text me i'll be there(online) for you
 
Sante
 
Back
Top Bottom