Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,950
- Thread starter
- #301
Hahaha duuu haya buanai
nawezekana hujawahi kusex muda mrefu sana,,,hiyo inatokeaga,,tafuta mtu akukune utarudi normal
Hahaha duuu haya buanai
nawezekana hujawahi kusex muda mrefu sana,,,hiyo inatokeaga,,tafuta mtu akukune utarudi normal
Mmmm...makubwaHizo Nyeg.e unahitaji mgegedo
Usije kuwa shabiki mwenzangu wa Man Utd maana mwenyewe hii week najikuta nina vitabia tabia kama vyako daah Feyenoord![]()
![]()
![]()
hata me ni man u...sema mie shabiki maandaziOh thank u...Sikiliza wimbo wa Linah : Raha jipe Mwenyewe unakufaa kwa kipindi kigumu ulichonacho,,also let life control you for a while then follow me PM
Sante...Fear of unknown, ndio tatizo kwako. Kuwa mtulivu hasa ktk kipindi hiki.
Acha tabia ya umbeya kwa mwezi halafu angalia kama umebadilika.
siwezi mkuu22 a kid???You are still a kid and frustrated
Hahaha magic wand...haya buanaAnxiety is real
find a good 'magic stick'
I have been craving for fellow scorpioNgoja nkusaidie kwa njia hii
Zodiac sign yako ni Scorpio,just tafuta mate ambaye ni Taurus ,hii inaweza ikasaidia but uf u believe on horoscopes ,
Au Scorpio's kwa Scorpio it might help
.....Hata ulcers piaNiliwahi sikia eti mtu akiwa na HIV anakuwa na hasira zisizokuwa na sababu......
Ndo wapi huko...nipeleke nikapaonenina wasiwasi hujawahi kufika kileleni
Mhh!!!..inawezekana kweli maana kuna mtu namjua ana ulcers ni balaa.Hata ulcers pia
Mmmmm...asante sana...Pole mdogo wangu. Hizo hali wenzio tushazipitia.
Hapo una STRESS.
Usiiruhusu hali ya stress kukutawala sana, jitahidi kubadilisha mazingira, go for vacations, have pleasure Fanya vile vitu ambavyo huwa unavifurahia, jichanganye na watu hudhuria ibadani, usiruhusu kukaa mwenyewe, sikiliza na cheza music unaopenda etc
Ukiendelea kuruhusu hali hiyo utapata magonjwa ya tabia ambayo ni mabaya kama BP, presha, kisukari etc
Asante.
Utaweweseka mtoto !!Ndo wapi huko...nipeleke nikapaone
Hahahahaaaaa haikamati hiyo manenoSijambo mamii,kama uko engaged basi nakuendea Bagamoyo navuruga kila kitu.
you need sex , loveHi JF.....![]()
![]()
![]()
idk what is wrong with me jaman....yani i get angry with no reason....hata sijui kwanini....and i just hate everyone who is around me....i hate every person i see....yani nna hasira za ovyo ovyo tu....
Naona kila mtu ni fake![]()
...idk...sielewi....ni kama i wanna be alone...yet ni kama i wanna be around people and have some fun....
Kama vile ni exit all the whatsapp groups....ni kama vile i wanna block everyone...
Sijui nifanye nini![]()
![]()
...
Hata mm ni mmojawapoMhh!!!..inawezekana kweli maana kuna mtu namjua ana ulcers ni balaa.
Anakula ninni? Halagi mahindKwa hiyo Stunter ndio anakula?
Huhuhu haya buana...you need sex , love