What is wrong with me?

What is wrong with me?

Wivu lazima uwepo ile kitu Treasure ya ulimwengu inasumbua sana moyo wangu
Bora leo umesema menyeweeee@stunter ndo nn hivyo jaman? Kuna mkuu alinambia nikakataa hunuhumu kumbe kweli?
 
[emoji23] [emoji23] watu wanatumia kauli za mzunguko kujinadi, hivi kwa nn wasiseme tu jamani nimeziwa natafuta ili waliozidiwa wenzao wawafate kimya kimya
Wifi maneno hayo acha nakwambia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom