What is wrong with me?

What is wrong with me?

Niliwahi sikia eti mtu akiwa na HIV anakuwa na hasira zisizokuwa na sababu......
 
Hi JF..... idk what is wrong with me jaman....yani i get angry with no reason....hata sijui kwanini....and i just hate everyone who is around me....i hate every person i see....yani nna hasira za ovyo ovyo tu....

Naona kila mtu ni fake ...idk...sielewi....ni kama i wanna be alone...yet ni kama i wanna be around people and have some fun....
Kama vile ni exit all the whatsapp groups....ni kama vile i wanna block everyone...

Sijui nifanye nini ...
Ni PM nikupe ushauri
 
Pole mdogo wangu. Hizo hali wenzio tushazipitia.
Hapo una STRESS.
Usiiruhusu hali ya stress kukutawala sana, jitahidi kubadilisha mazingira, go for vacations, have pleasure Fanya vile vitu ambavyo huwa unavifurahia, jichanganye na watu hudhuria ibadani, usiruhusu kukaa mwenyewe, sikiliza na cheza music unaopenda etc
Ukiendelea kuruhusu hali hiyo utapata magonjwa ya tabia ambayo ni mabaya kama BP, presha, kisukari etc
Asante.
 
Back
Top Bottom