Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
Unataka kwenda jukwaa la wakubwa kufanya nini wakati mimi natosha???niunganishe jukwaa la wakubwa kwanza...
C tunaenda kufanya yetu... kule ndo pazurUnataka kwenda jukwaa la wakubwa kufanya nini wakati mimi ninatosha???
Ohhhh!!!.....that is good!.....ngoja niwahi huko,nikifika nitakuita dear!C tunaenda kufanya yetu... kule ndo pazur
Nasubiri kwa hamu...Ohhhh!!!.....that is good!.....ngoja niwahi huko,nikifika nitakuita dear!
Hivi jukwaa la wakubwa ni kule pm my dear?Nasubiri kwa hamu...

Am 22....sina mume...namalzia chuo...sijaajiriwa...
Hahahaha mwambie akuje kabisa nimtibu hayo matatizoDavion Delmonte Jr. Ni dokta mzuri sana.
Alimsaidia mdogo wangu akapona kabisa, sahivi mzima kabisa.
Nakushauri umcheck.
It's wrong with youHi JF.....![]()
![]()
![]()
idk what is wrong with me jaman....yani i get angry with no reason....hata sijui kwanini....and i just hate everyone who is around me....i hate every person i see....yani nna hasira za ovyo ovyo tu....
Naona kila mtu ni fake![]()
...idk...sielewi....ni kama i wanna be alone...yet ni kama i wanna be around people and have some fun....
Kama vile ni exit all the whatsapp groups....ni kama vile i wanna block everyone...
Sijui nifanye nini![]()
![]()
...

Haha sipajui...ila sio huko...Hivi jukwaa la wakubwa ni kule pm my dear?![]()
Hahaha fisi maji katika ubora wako.Hahahaha mwambie akuje kabisa nimtibu hayo matatizo
Mmmm....Davion Delmonte Jr. Ni dokta mzuri sana.
Alimsaidia mdogo wangu akapona kabisa, sahivi mzima kabisa.
Nakushauri umcheck.
Nisipopona jeHahahaha mwambie akuje kabisa nimtibu hayo matatizo
Usisome huku unazunguka mkuu...simama wima utaelewa...lugha yako kizunguzungu sielewi.
Mwezini badounakaribia kuingia mwezini?umehave sex lini mara ya mwisho?
Sina mwenza wala uzazi wa mpango....Una mood swings rafiki!!Je unatumia njia yoyote ya uzazi wa mpango?Una mwenza.Muongezeko wa homoni unasababisha kuwa na vihasirahasira vya karibu!