BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,922
upo very sensitive, very creative and romantic,....ila unaona hamna anetaka kujua hili,you probly a loner ujui tu lakin inaezekana una potential sana ndani yako ila ujawai zitumia may be ujapata msukumo au sehem ya kuzitumia ila jipe moyo kila kitu kitakua sawa,..pm me