What is ur dream for the future? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

What is ur dream for the future?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Oct 9, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,158
  Likes Received: 5,588
  Trophy Points: 280
  wapo wanaotarajia watoto wengi
  wapo wanategema wake wengi
  wapo wanatarajia kuitwa mafisadi ingawa dalili za maisha aziwapi muelekeo
  wapo wanaotarajia kumrithi Invis akistaafu na mengine mengi

  Binafsi natarajia kuona TAIFA STARS YA LEO IKIWA BRAZIL KOMBE LIJALO LA DUNIA SIJUI WEWE
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Oct 9, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye red ndio nani huyo?
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Oct 9, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,158
  Likes Received: 5,588
  Trophy Points: 280
  Bos wangu!!!
   
 4. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #4
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mimi NATAMANI 31/10 watanzania wafanye maamuzi ya kweli
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,158
  Likes Received: 5,588
  Trophy Points: 280
  watuuu weweeeeeeeeeeeeeee weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

  CC EMUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU CCEMUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

  NDUGU UTAWAJAZA WATU HUMU BASI LISIJAE UNAGUSA MBONI ZA WATU
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Oct 9, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  sasa sisi anatuhusu nini?
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Maamuzi gani hayo ya kweli.
   
 8. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  mimi natarajia kuolewa
   
 9. Fixed Point

  Fixed Point JF Bronze Member

  #9
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 30, 2009
  Messages: 11,321
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  si kule kwenye vichumba vya kuvote!
   
 10. M

  Malila JF-Expert Member

  #10
  Oct 9, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Mimi nataka nije niwe TT ktk train ya abiria kwenye reli mpya kabisa ya kutoka Mtwara mpaka Songea itakayo jengwa ndani ya miaka mitano ijayo.:hat:
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Oct 9, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Nani aliyeahidi hii kitu!
   
 12. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #12
  Oct 9, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  nadhani ni jk ktk moja ya stail mpya ya kuombea kura
   
 13. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,897
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Loh ujumbe muruaaaaaaa kweli huu nami natarajia kuoa tuwasiliane basi:A S-rose::hug::cheer2::lalala::A S-heart-2::A S-heart-2::whoo:
   
 14. father-xmas

  father-xmas JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 530
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  natarajia kumvisha pete kimwana wa JF.................!
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,033
  Trophy Points: 280
  who is the lucky one?!!!!
   
 16. sirdelta

  sirdelta JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 286
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  natarajia kutoa maamuzi magumu trh 31 oct
   
 17. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #17
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  mwenyewe kashatoa mahari kashanivisha pete ya uchumba harusi february
   
 18. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Mi nataraji kuwa md wa kwanza wa mradi wa maji toka mto ruvu kwenda same. Hapo tar 01/11/10.
   
 19. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #19
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,897
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Hongera mwenzetu,na mi naomba mkimaliza shughuli yote hiyo february tuanze mchakato wa kunifanya niwe mume mdogo si inaruhusiwa siku hizi?Usihofu maana mahari na mambo ya pete nimeshajiandaa.:A S 8::A S 8::cheer2::A S-heart-2::A S-heart-2::lalala::lalala:
   
 20. M

  Malila JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2010
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Hii ni ahadi ya CCM iliyotolewa na Bilal akiwa Mtwara kwa wapiga kura.
   
Loading...