Elia
JF-Expert Member
- Dec 30, 2009
- 3,425
- 567
Nimeipenda hii, umekokotoa vizuri kabisaEiyer ndoa ni zaidi ya sex mydia wanaosema hivyo nadhani huwa wanasema kwa hacra ya kunyimwa hiyo sex ambapo hatua hii hufikiwa baada ya mambo mmengi ya kindoa kuharibika. Ndoa ni kushare sehemu ya maisha yako yaliyobaki na mtu umpendaye, mtu anayekufanya ujisikie furaha pale uwapo na hacra; anayekufariji upatwapo na huzuni; anayekujali uwapo na uhitaji; anayekuliwaza uhitajipo liwazo; mtu ambaye yuko tayari/uko tayari kufanya mambo mengi naye ikiwemo kuchangia katika kutengeneza viumbe wa kuijaza dunia; uzao utakaobeba alama ya muunganiko wenu ninyi wawili. Mengineyo hutokea kwa bahati mbaya.
Sex unaezaipata hata nje ya ndoa mf. kama ni mwanaume anayehitaji sex tu ili aoe si anawezanunua kwa dada poaz? kama ni mwanamke anayetaka aolewe ili apate sex, si awezafungua tu biashara?
Kufuata mkumbo yesi kuna wanaooa/olewa kwa kuwa tu flani kaoa/lewa au marafiki zangu wote wameoa/olewa but mara nyingi za aina hii zinaweza zisifike popote