What does ID and Avatar say about someone?

Nimesimama hapa dakika kumi sasa, kuna vijana wamekaa upande wa pili wananiangalia na kunong'onezana tu. . . .embu harakisha bana.
Ayayayaaa hao ndo wapiga roba wa mtaani hapo wanakulia taimingi, sasa fanya hivi, hayo masendeu vua kabisa shika mkononi, anza kurudi nyuma taratibu, incase wakikukamata piga keleuwii ! Lol!
 
Lolzzz. . .
Nilitaka kupinga na wewe urafiki ila sitaki tena.
Khaa! Urafiki wa kupinga na kufuta ni wa mashaka! Unanyimwa bumunda unamwambia mtu tufute urafiki, kesho akikumegea bagia mnarudia urafiki!

Staki shinikizo la damu mimi!
 
Ayayayaaa hao ndo wapiga roba wa mtaani hapo wanakulia taimingi, sasa fanya hivi, hayo masendeu vua kabisa shika mkononi, anza kurudi nyuma taratibu, incase wakikukamata piga keleuwii ! Lol!
Yani saa hizi ndio unaniambia? Nimesimama simama hapa mara nikaona nao wanasimama, wakawa wanaelekea nilipo taratibu, na mie nikajifanya kama muda wangu wa kusubiri umeisha. Walivyoona nasogea wakaongeza mwendo. . . Khaaa. . kuona vile nilitoka baru mpaka sendeu moja likanitoka na wigi la Kongosho ndo hivyo tena nitafute namna ya kumlipa.

Khaa! Urafiki wa kupinga na kufuta ni wa mashaka! Unanyimwa bumunda unamwambia mtu tufute urafiki, kesho akikumegea bagia mnarudia urafiki!

Staki shinikizo la damu mimi!

Hahahaha. Those days.
" Naomba andazi ehhh. . . "
"Uhh uhhhh."
"Jamani naomba unagawie kidogo tu. . . ?!" macho ya huruma.
"Sasa mi ntakula nini? Kila mtu ameniomba mpaka kabeki kadogo tu!" huku uso umekunja.
"Unannyima ehh. . unanyima ehh. Sawa utaona, na kesho mjomba anakuja atanletea biskuti, uone kama ntakupa. Na nafuta urafiki na wewe".
 
Yani saa hizi ndio unaniambia? Nimesimama simama hapa mara nikaona nao wanasimama, wakawa wanaelekea nilipo taratibu, na mie nikajifanya kama muda wangu wa kusubiri umeisha. Walivyoona nasogea wakaongeza mwendo. . . Khaaa. . kuona vile nilitoka baru mpaka sendeu moja likanitoka na wigi la Kongosho ndo hivyo tena nitafute namna ya kumlipa.

Hahahaha. Those days.
" Naomba andazi ehhh. . . "
"Uhh uhhhh."
"Jamani naomba unagawie kidogo tu. . . ?!" macho ya huruma.
"Sasa mi ntakula nini? Kila mtu ameniomba mpaka kabeki kadogo tu!" huku uso umekunja.
"Unannyima ehh. . unanyima ehh. Sawa utaona, na kesho mjomba anakuja atanletea biskuti, uone kama ntakupa. Na nafuta urafiki na wewe".

Hahahaaa Kongosho kesho atatawa, maana atatokaje mwenzio bila wigi?

Lol...acha, halafu sasa ukiamua kuwamegea unamegewa kwa kucha yaani akitafuna kiishie kwenye meno....lol!
Heee, na ile mtu akikupotezea kitu chako je, mi nilikuwa na tabia ya kudai kile kile sitaki kingine na urafiki tunafuta vile vile!
Mweeh!
 
Ahhhh afunge kilemba bwana.

Na ile ya kung'atiana vitu? Tulikua na roho ngumu.Mtu anang'ata embe linaingia mdomoni kwake alafu anatoa anakupa kwasababu akikupa ung'ate mwenyewe utang'ata kikubwa sana.

Hahaha. . . Jamani kudaiwa ilikua soo ila kudai raha. Alafu sijui tulikuaga tunafanyiana makusudi, maana mtu anakomaa na "nataka ile ile" wakati anajua kabisa imepotea. Mtu tu akichana lile gazeti la jalada inakua ugomvi, unamtupia daftari akurudishie likiwa limejaladiwa vizuri. Utoto bwana.
 
Ha ha ha ha,
jamani kuomba shule !!!
Ile karaha siitaki tena

kama wewe kila siku umefulia basi ni tabu tupu. Afu kulikuwa na mtindo wa kuomba hadi Big G mkatiane.

Kuna mmoja alikuwa anaitwa Salome aliombwa akaanza kukata kabig G kadogo kadogo kwa kila mtu
alivyoangalia foleni haiishi akakatupa kalikobaki akalia kama kafiwa.

Tulipata kazi ya kumbembeleza anyamaze na ale kale kalikobaki, ilichukua kama nusu saa.
 
Hahaha. . .
Kweli utoto una mambo.
 
Kongosho ushawahi kuiba wino wewe?
Sisi kuna watu walikua wakiazima kalamu yako ikirudi hutumii wiki, Daftari likiibiwa zinachanwa pages zilizotumika alafu linajaladiwa upya, penseli tulikua tunachonga majina yetu basi mtu akiiba anaikwangua au anaichonga pande zote, mpaka hapo unakua huitaki tena kwasababu tulikua tunaamini penseli ikichongwa pande zote ni matusi.
 
Back
Top Bottom