What does ID and Avatar say about someone?

Kuna wakati unapenda ukimya wako ili ufikiri au to clear your mind.

lakini ukimya huu sio lazima ujifungie, something like 'staring outside'
Me likeyyy. . . .
Unaonaje nikikupa cheo cha mtabiri mkuu wa jukwaa?
 
hadi naandika hapa mfafanuzi wa kampuni hayupo, nitaendelea kumtafuta kwa taarifa zaidi.

mpaka sasa pamoja na mcharuko nimejua pia kwa ubishi wewe umo, ukinibishia wewe mbishi, bora ukubali tuuu
 
Hahaha. . .ngoja nirudi embu, sijui ntakukuta.

Wapenda familia, you is a family woman.
Hehehe tatizo unaharakisha sana bana...lol!

Simama hapo hapo nije nikuchukue ushafika...lol!
 
Kongosha mwaya nilikuwa nakujibu wewe, Lizzy kadesea jibu lako nahisi hadi namba yako ya mtihani kakopi...lol!

Lizzy, Kongosho atakuwa msoma nyota huyoo!
 
Kongosha mwaya nilikuwa nakujibu wewe, Lizzy kadesea jibu lako nahisi hadi namba yako ya mtihani kakopi...lol!

Lizzy, Kongosho atakuwa msoma nyota huyoo!

BHT nimehisi ni BAHATI
 
Hehehe tatizo unaharakisha sana bana...lol!

Simama hapo hapo nije nikuchukue ushafika...lol!
Nimesimama hapa dakika kumi sasa, kuna vijana wamekaa upande wa pili wananiangalia na kunong'onezana tu. . . .embu harakisha bana.
 
Kongosha mwaya nilikuwa nakujibu wewe, Lizzy kadesea jibu lako nahisi hadi namba yako ya mtihani kakopi...lol!

Lizzy, Kongosho atakuwa msoma nyota huyoo!

Lolzzz. . .
Nilitaka kupinga na wewe urafiki ila sitaki tena.
 
Back
Top Bottom