bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,880
Hahhaaaaa Malaika unayetabasamu umeniacha hoi eti nilikuja juu....hamna bana nilirukaruka ujue!mkuu umenikumbusha mbali kuna siku mtu mmoja alifananisha identity na barbara hassan ,..... ulivyokuja juu!!! teh teh hatasahau i guess..... ila kiukweli kidogo ufanane na kipanya
Umeshindwa kubashiri bana, jaribu tena, ukibidi nikupe ka hint kaduuchu...