What does ID and Avatar say about someone?

mimi napenda sana kuhabarishwa ndo maana ikazaliwa ID ya Nitonye. Kuhusu avatar ni kuonyesha hasa sura na rangi halisi ya kiafrika yaani nipo kiafrika zaidi. Ni hayo tu nimeamua kujielezea mwenyewe
 
Naamini kwamba ID na avatar ya mtu inaelezea kitu fulani kwa mhusika in term of personality.
Jaribu kuelezea personalities from avatar and ID.
Eg, from avatar Dark City, akiona hayamhusu hupuuza na kuondoka zake will never comment.

AshaDii, likes decency, si lazima yy awe decent.

King'asti, anavutiwa na 'indecently delicious' appearance.

Nawasilisha!

habari ya asubuhi? kwenye daladala naelekea kuwajibika
 
Kila kitu kilikuwa kinaibiwa
Ilibidi kalamu za wino tuwe tunakariri namba ya mrija wa ndani.

Kongosho ushawahi kuiba wino wewe?
Sisi kuna watu walikua wakiazima kalamu yako ikirudi hutumii wiki, Daftari likiibiwa zinachanwa pages zilizotumika alafu linajaladiwa upya, penseli tulikua tunachonga majina yetu basi mtu akiiba anaikwangua au anaichonga pande zote, mpaka hapo unakua huitaki tena kwasababu tulikua tunaamini penseli ikichongwa pande zote ni matusi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom