What does ID and Avatar say about someone?

Kweli kuna siku nimuuliza akanambia nikuulize,mwanzoni nilikuwa naiogopa hata nikichangia sred zake sikusubutu kuweka utan,
Asante Preta,
Na wewe ikla nikiangalia avatara yako nahis ww ni mpole ila mtu akikuzingua ni balaa nimepatia au?

ha ha....hapana dear...mimi ni mpole mpaka najihurumia......
 
Indecently delicious?! What ar u implying?
Afu utuelezee na avatar ya the boss (itasaidia kuelewa why dd u fall for it/him),lol
Unapenda kupendeza sana, hata kama utaonekana partialy indicent as long as you look Hot, you dont care.
The Boss, avatar inaonesha ni observer, says little hata kama anajua a lot. Keeps low profile, wants to go unnoticed, ila ID inonesha he likes to be in control of his situation, its like you are not going to confuse me, i know what i want and how to get it.
 
Naamini kwamba ID na avatar ya mtu inaelezea kitu fulani kwa mhusika in term of personality.
Jaribu kuelezea personalities from avatar and ID.
Eg, from avatar Dark City, akiona hayamhusu hupuuza na kuondoka zake will never comment.

AshaDii, likes decency, si lazima yy awe decent.

King'asti, anavutiwa na 'indecently delicious' appearance.

Nawasilisha!

avatar yako nimejaribu kuiangalia mpaka na miwani ya jua lakini sijaielewa....unaweza kunisaidia kidogo....kwamba ina maudhui gani.......
 
Afu ww unajua ni dadako wa kambo! Ntakusemea kwa baba!
Ngoja will ya gaddafi isomwe manake ile bisto yake ya dhahavu tupu aliniahidi kunirithisha. Hujajibu swali lang lakini. 'Indecently delicious'??
Habari yako binafsi mamito,tafathali naomba kujua km kuna uwezekano wa kubadilisha hilo bunduki kwenye hiyo avatara yako na ukawa umeshika kabastola jamani!hilo likuwa na linatishalol!
 
Afu ww unajua ni dadako wa kambo! Ntakusemea kwa baba!
Ngoja will ya gaddafi isomwe manake ile bisto yake ya dhahavu tupu aliniahidi kunirithisha. Hujajibu swali lang lakini. 'Indecently delicious'??
Haaaa haaa,this is my sisy bhana ngoja tusubiri hiyo will,mbona silikumbuki uliuliziage vile lol,jana nilizima mazima!
 
Lol! Yaani umekosea mazima! Hapa ni mwendo wa sandals na dera kutwa kuchwa! Ngoja nisiulize kuhusu the boss,he is the boss know!

Unapenda kupendeza sana, hata kama utaonekana partialy indicent as long as you look Hot, you dont care.
The Boss, avatar inaonesha ni observer, says little hata kama anajua a lot. Keeps low profile, wants to go unnoticed, ila ID inonesha he likes to be in control of his situation, its like you are not going to confuse me, i know what i want and how to get it.
 
Lol! Yaani umekosea mazima! Hapa ni mwendo wa sandals na dera kutwa kuchwa! Ngoja nisiulize kuhusu the boss,he is the boss know!

'Lucky son of a gun....', comes from crazy personality, sio lazima mavazi. Navaa ninja, though crazy at some point.
 
Back
Top Bottom