What does ID and Avatar say about someone?

What does ID and Avatar say about someone?

Ukitaka kujua mtu yupoje, tabia zake hata mwonekano wake angalia anacho kiandika. nikiwaletea picha za baadhi ya watu hapa itabidi tupoteane.
 
Hahaha! I so hate u gal,lol! U shldnt be that observant! I only say that when MTM smokes ghanja in my neighbourhood!!
'Lucky son of a gun....', comes from crazy personality, sio lazima mavazi. Navaa ninja, though crazy at some point.
 
Kuna avatar ya Rose1980........yaani anaonekana ana tabia za uchokozi flani hivi halafu na mcheshi
 
du ndugu yangu kwanza sijui hapo ndio unapokea nn coz kuna huo mwanga uliotumika hapo umekaa kianjelic flan,but binafsi nahis km mtu flan mwenye kautakatifu kadogo km sehemu ya mkono inavyoonyesha,sijui nimepatia?

yes! Uko sahihi kabisa...cantilisia..., ni zaidi ya mumeo salvado si unamkumbuka?
 
Unapenda kupendeza sana, hata kama utaonekana partialy indicent as long as you look Hot, you dont care.
The Boss, avatar inaonesha ni observer, says little hata kama anajua a lot. Keeps low profile, wants to go unnoticed, ila ID inonesha he likes to be in control of his situation, its like you are not going to confuse me, i know what i want and how to get it.

i never thought you are this 'bright'
seriously....
 
ID yangu, avatar na signature yangu vinaendana na mimi nilivyo.
 
Naombeni ushauri,,,ivi kesho nianzishe topic gani vile!!!
 
Naombeni ushauri,,,ivi kesho nianzishe topic gani vile!!!

Anzisha kuwa unapenda sana watu waoga ambao wakivamiwa na wezi wakati wapo na wake zao wanawaambia wachukue silaha. Baba anakimbilia uvunguni wakati mkewe anapigana. Beijing Hoyeee haki sawa
 
Na kweli, ushasoma kitabu 'faceless'? Superb and moving story story. Ila nakupenda kweli mkwe wangu,sijui wanloga?

mkwe inabidi unitaftie hayo mazaga zaga.lol, hivi na wewe hunilogi kweli maanake nisipokuona jf lazima nisign out muda huo huo.
 
Naamini kwamba ID na avatar ya mtu inaelezea kitu fulani kwa mhusika in term of personality.
Jaribu kuelezea personalities from avatar and ID.
Eg, from avatar Dark City, akiona hayamhusu hupuuza na kuondoka zake will never comment.

AshaDii, likes decency, si lazima yy awe decent.

King'asti, anavutiwa na 'indecently delicious' appearance.

Nawasilisha!

Yangu je navutiwa na nini?
 
Back
Top Bottom