What am I missing?

What am I missing?

Alicho fanya kasema we can't find satisfaction kwenye objects like money and things... Ndo Alicho maanisha hapo Sema ameongea indirectly
Ila object ndizo zinazotumika ku tengeneza hormones za furaha, unapo kula chakula unachokipenda unafurahi na chakula ni object, hivyo anachosema ile statisfication kubwa kabisa ya nafsi huwezi kuipata hata ukipata vitu unavyopenda bali utapata stasfication ya hapo kwa hapo sababu ukila chakula unachopenda kwa muda mrefu utakinai utataka kujaribu chingine hivyo huwezi kuwa na statisfication ya ukomo
 
Pleasue ndo utapata kwenye chakula, na vitu vya nje... Na kamwe hakuna satisfaction huko

True satisfaction is letting go
 
It's feeling fulfilled... Hiyo ndo true satisfaction.
Feeling enough pia inaweza kukaa
mbona umesema mtu huwezi pata statisfication kwenye object, kama mimi nikila biriyan la kuku ndio napata ile feeling ya kuwa fulfilled ila we ume term kama furaha tu, ila furaha unayoipata kwenye ibada unaweka kwenye statisfication wakati kwenye hali nzote hormone za furaha na zinatolewa
 
I found peace after believing in Jesus. I was lost, lonely, and with an emptiness that nooooothing could fill until He found me. Receive His message, please read John 3:16, He wants you to have joy overflowing, meaning and purpose!
 
Pleasure=dopamine
Satisfaction = oxytocin

Oxytocin ndo inakupa long lasting happiness ambayo ndo satisfaction. Na inapatikana unapo Fanya meditation, kanisani kwenye Sala, au unapofanya jambo jema mfano kusaidia orphans.
 
🙏👌
 
Sexual arousal ( sex,kissing,cuddling) pia ina release oxyticin hivyo kama niki sex na mtu ninayempenda does count as satistication au pleasure
 
Angalia na context sasa
Una pata ndio lakini ni external induced na inakata muda mfupi
 
Umesema release of oxytocin ndio inaleta satisfication, na hyo inafanya, pia hakuna kitendo ambacho kinaacha hizo hormone zikae kwa muda mrefu, nikisali au kufanya kitendo kizuri sawa oxytocin itaachiwa ila zitaisha na zitarudi tena pale ubongo utapo feel ile pressure tena, kuna watu wanasali na hawa feel chochote, hivyo kama kusali kuna leta oxytocin hapo inakuaje
 
Angalia na context sasa
Una pata ndio lakini ni external induced na inakata muda mfupi
na ni matter of feeling, sababu meditation na sex vyote ni vitendo na vyote vinatoa oyxtocin, kwa nini sex ui term kama exernal hapi sijaelewa
 
Back
Top Bottom