What am I missing?

What am I missing?

We jamaa una shida gani?
Shida hutaki kukubali ukweli umekomaa na fanya research na mimekwambia hzo ni facts za kibaolojia siyo opinions zangu, with all due the respect mkuu hii nimeona hata ukijadilana na wengine hata kwa min -me , huwa hukabaliana vizuri na challenge utajaribu ku twist kila aina ya maneno ili zi suit idea yako kuwa wewe ndio upo sawa,

Basi sawa wewe upo sawa mimi nimekosea
 
Daah sasa wewe unatumia dakika mbili kuja na majibu ya research? Jamaa kuwa serious
 
Daah sasa wewe unatumia dakika mbili kuja na majibu ya research? Jamaa kuwa serious
Huwezi fanya research ya kitu ambacho kimeshakuwa proved na wana nuerology kuwa ni fact, unless na mimi nifanya expriment kwenye ubongo ila all reseaech papers zinatakwambia kitu kile kile, hiyo ni medical research mkuu sio kwenda kusikliza maoni ya watu mitaani,
 
Basi kaza fuvu, nimekwambia kuna scientific research of meditation na ubongo..
 
My mind is in a mess right now, I think it's because there's a certain kind of clarity that I've been searching for but I just can't seem to find it.

1. Nimejaribu kuitafuta through achievements of different milestones ila still sijaipata.
2. Nimejaribu kuitafuta through self improvement habits ila still sijaipata. (reading books, reading the bible, working out, meditating and journaling)

Nilivyokua Sekondary, i used to think through graduating and passing that milestone nitaingia chuo and all will be well in a sense kwamba vitu vilivyokua vina nisumbua akili vitaondoka na ill be free and at peace at last. Lakini hapana.

Nimeingia chuo vitu vipya vikawa vinanisumbua akili, nikajiambia ya kwamba all will be well once i graduate and maybe through passing this new milestone, maybe then ill find freedom and clarity.
Ila hapana,

Nimemaliza chuo, vitu vipya vinanichosha akili. Nimejishtukia nipo kwenye loop ya kusema maybe nikipata tu kazi, all will be well.....ila nishaona uongo huo.

The sad part about all of the above ni kwamba, through that journey of finding clarity nimetumia weed, pombe and i was a womanizer/ player..........nilikua nikifanya yote hayo hoping nitapata the satisfaction and clarity am looking for, ila sijapata.

Najua kua kuna tragedies kubwa sana watu wanazopitia katika haya maisha, ila still that doesnt take away the curiosity of me asking.

What am i missing? kuna mtazamo wa maisha sioni au?
Mwanadamu hatosheki, ni hulka yake, sema inatofautiana katika ya mmoja na mwingine. Pengine kwako shauku Iko juu sana, ila unachotakiwa kufanya ni kujiwekea kipimo, kuwa na kiasi, na ifikie wakati au kiwango fulani, uridhike na hali yako. Uliyofanikiwa kuyafanya na kuyapata, yakuridhishe, yakupe Amani ya akili na nafsi. Usipokuwa na kiasi, kujidhibiti, utahatarisha maisha yako au na ya wengine pia. Hakuna jipya chini ya jua, si kilevi, si kipato, mazingira au watu, watakuridhisha, bali mtazamo wako binafsi na kuwa na kiasi.
 
It's not what are you missing? It's what do you want in life? Try to know what do you want in life... Starehe zitakupotezea resources tu, hazitasaidia kufahamu your purpose in life.
Nimekuelewa kbs, in the grand scheme of things what i want in life is financial freedom. Yawezekana hilo hitaji ndo linafanya niwe na perspective mbaya ya maisha, sijajua maana maisha ni mtazamo tu - (kitu ambacho kinaweza kumpa furaha mmoja, kinaweza kikamfanya mwingine alie.......hivyohivyo kinachoweza kua cha thamani kwa mmoja kinaweza kua takataka kwa mwingine).
Tukija kwenye swala la purpose, hapo ndo sijui hata mtu anagundua vp purpose yake maishani.
 
Haupo kwenye kale ka age ketu heavy ka 20's

Anyway tuwe serious kidogo mkuu hivi imani yako kubwa katika haya maisha ni nini yaani unaamini katika industry ipi?
Umenipoteza kidogo hapo kwenye "industry ipi" ila overall imani yangu ipo kwa Mungu
 
Back
Top Bottom