Elevenn
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 7,347
- 14,853
Inabidi ufatilie namna meditation na kusali zinavyo impact ubongo... Utajua ndo maana nilivitaja kama muhimu.Umesema release of oxytocin ndio inaleta satisfication, na hyo inafanya, pia hakuna kitendo ambacho kinaacha hizo hormone zikae kwa muda mrefu, nikisali au kufanya kitendo kizuri sawa oxytocin itaachiwa ila zitaisha na zitarudi tena pale ubongo utapo feel ile pressure tena, kuna watu wanasali na hawa feel chochote, hivyo kama kusali kuna leta oxytocin hapo inakuaje