Wezi wenye 'leseni ya kukuibia' Kariakoo

Wezi wenye 'leseni ya kukuibia' Kariakoo

Hahaha kuna polisi alitoka kwenye mafunzo maalum huko Marekani, akasema nchi ile polisi hawachukui rushwa ndio maana wanaua raia kwa hasira.

Hii inaonekana ukiondoa rushwa polisi hawataipenda kazi yao na wanaweza kutuua sana, hivyo tuliache la rushwa.

Mwisho, huwezi kuwa na polisi kila sehemu, kwasababu uhalifu unafanyika kila sehemu nchini.

Jiulize mbona vijijini Tanzania nzima hakuna polisi na wanaishi poa tu.
Una kichaa wewe.
 
Tanzania kunavituko sana kuanzia hao wauzaji hadi wanunuaji. Utanunuaje simu imeandikwa Bundy (Bundi?) Ulisikia wapi?
Tembea Mkuu usikae kijijini tu, Mada inaongelea nini anzia hapo, kubambikiwa simu fake kwenye cover mpya iwe Sumsung, Nokia hata Techno, hao jamaa wapo kwenye Noah ni kikundi kikubwa tu kina wadada zaidi ya wa4, unatangazia na zawadi juu ya hiyo simu
1607660266950.png
Hawa walinitapeli mwaka jana Samora Avenue mkabala na maktaba ya British Council. Waliniuzia simu mbovu aina ya Vituz kwa 250,000 na t-shirt ya bure. Wanatembea na Noah
 
Ile safisha vyeti fake ilipaswa kupita huku pia. Naamini Polisi wa Tanzania ni moja ya corrupt organization, na wameshaona hawana la kufanywa. Ushauri wangu, Jeshi la Polisi lisukwe upya.
Hilo sahau chini ya Utawala huu.
Polisi ni Watiifu Kuwalinda Watawala na maslahi yao. In return; Watawala wamewaachia Uhuru Polisi kujifanyia watakavyo as long as wanaendelea kuwa faithful kwao..
 
Siku moja nilipata hasira,manusula nilete vurugu kituo cha polisi,nimemsindikiza dada polisi kuripoti kutapeliwa mtandaoni eti polisi hawataki kudeal na hiyo issue wanamwambia ni uzembe wake.
 
Tembea Mkuu usikae kijijini tu, Mada inaongelea nini anzia hapo, kubambikiwa simu fake kwenye cover mpya iwe Sumsung, Nokia hata Techno, hao jamaa wapo kwenye Noah ni kikundi kikubwa tu kina wadada zaidi ya wa4, unatangazia na zawadi juu ya hiyo simu
View attachment 1646766


Wewe uliuziwa aina simu aina ya Bundy uliyemquote naye aliuziwa simu aina ya Vituz halafu unaniambia nitembee kuliko kukaa kijijini, kama watu mliotembea mnaweza kununua simu aina yq Bundy na Vituz na baadaye mkasema mmeibiwa si bora hata huyo bundi anayeshinda kwenye miti?
 
Aisee.. Kkoo imeoza kwa utapeli..sikuyajua Haya ahsante sana
 
Nina miaka 13 tokea mpaka android imenikuta kwenye idara ya vitu vya mawasiliano.usipende kuaminisha watu kupaka mavi hapo kariakoo,taaluma yangu kubwa ni mawasiliano.

Karakoo ni sehemu ya vijana na wafanya biashara wanao fanya biashara kwa mitaji midogo,pili vitu vingi unavoviona ni wewe ukitaka copy unapata kwa kuwa wafanya biashara wa mambo haya wanataalamu kuendana na mtu hana taka nini.!

Simu kutoka south africa,dubai,hong kong,walio kuja nazo toka nje ya nchi na kuwapa watu wauze ufikisha pale kwa kuwa ni rahisi kuhuzika haraka.

Tokea nimekaa kariakoo nimeweza kumili iphone 2g,3g,3gs,4,4s,5,5s,6,6s,7,7s,8,8s,x,xr,xs max na kwa bahati na simu nyingi ambazo mtu itamchukua mda kupata kwa kuwa maduka makubwa ni bei.

Maduka yapo mazuri watu wapo wazuri ni wewe tu.

Na kariakoo ndio imezalisha vijana mnao waona wameenda pembeni sijui mwenge,sijui wapi kuanzisha viduka hata posta lakini bizaa wanatoa huku kariakoo
 
Mpwaa polee sanaa

Msimbazi inanukaaaaa kabisaa

Mwakaa wa KUMI sasa kuna SEHEMU wanaita mnadanii mkuu pale VIFAA VYOTE VYA wizi wa MAGARI vinauzwa paler

Unapoenda ukapata msamaria unanunua maliyako mwenyewe bila kuombwaa

POLISI msimbazi WANAJUA hilii wanamalalamikoo MENGI ..eg
Unapooibiwa kioo cha GARI YAKO kilichoibiwa

Ukishindwa kuelewana BEI wanakipasua unakionaa mazimaaaaaaa sio kwa BAHATI mbaya na wanakwambia nendaa POLISI sihapoo mbele ama nendaa popotee

Wameshabadilisha wengisanaa hapoo michezoo n ileilee mkuu....NDIOMAANA niliacha KUNUNUA SIMU tz bora nikapigwe na wakenya ama waganda loh

Ni channel NDEFU sanaaaaaaaaa
 
Ndugu yangu hii nchi ina mambo ya ajabu yanayosemwa majukwani na viongozi ukifika field ni tofauti kabisa. Bora ukitaka kununua sinu Og usiende tu kariakoo kabisa
 
ndugu yangu hii nchi ina mambo ya ajabu yanayosemwa majukwani na viongozi ukifika field ni tofauti kabisa. Bora ukitaka kununua sinu Og usiende tu kariakoo kabisa

Sasa hao mnao kwenda kununua kwao ndio uja kuchukua huku.
 
Mbaya sana hiyo. Binafsi siwezi nunua simu kariakoo, hapajawahi nibariki kununua vitu vya electronics
 
Mbaya sana hiyo. Binafsi siwezi nunua simu kariakoo, hapajawahi nibariki kununua vitu vya electronics

Asilimia 90 ya wote mnao nunua nje ya kariakoo zinatoka huku kariakoo sema mnadanganywa na hao
 
Back
Top Bottom