Wezi wenye 'leseni ya kukuibia' Kariakoo

Wezi wenye 'leseni ya kukuibia' Kariakoo

"Sheria zibadilishwe kuwalinda wanunuzi. Polisi wawe na maaafisa wa TRA na TBS, Hasa pale msimbazi Polisi..

Opereshen maalum ifanyike kusafisha kkoo na wafanya biashara hawa matapeli"

Nimependa hii conclusion yako ya kibabe sana. Solution ni hiyo tu na si vinginevyo.
 
Wezi wote wa kariakoo wana uhusiano na kituo cha polisi cha msimbazi, dawa ya issue hizi ni kuwapelekea tume ya ushindani hawana longolongo hata lile neno la kwenye risiti mali ikishauzwa hairudishwi pia kwao halina nguvu kisheria.
Tatizo taasisi hizi hazijitangazi vya kutosha ili wananchi wazielewe.
 
Hatari hii, Ila gadgets za namna hiyo ni bora nikaenda Samora au Mlimani city.
 
Hapo polisi wanapata toka kwa hao wezi. Polisi kazi yao ni kupokea malalamiko, kuyapima na kuyapeleka mahakamani wakiridhika. Wanatakiwa wajue Sheria za msingi. Kesi ikifika mahakamani mashahidi ndio hao kina tbs na tra. Polisi asie jua kuna sheria ya receipt ya efd, asie weza tofautisha risiti hizo, hayupo, labda polisi fake.
 
"Sheria zibadilishwe kuwalinda wanunuzi. Polisi wawe na maaafisa wa TRA na TBS, Hasa pale msimbazi Polisi..

Opereshen maalum ifanyike kusafisha kkoo na wafanya biashara hawa matapeli"

Nimependa hii conclusion yako ya kibabe sana. Solution ni hiyo tu na si vinginevyo.
Kabisa
 
Kwanza polisi wapewe nguvu kisheria
Wawe na wataalam wao wa TRA na TBS
Ndo iko hivyo nchi zingine
Kuna uhaba mkubwa wa watumishiwa wa serikali. Waajiriwa wapo, mwajiri yupo busy na vipa mbele vyake, ie siasa, miundo mbinu, ndege etc.
 
Walikuja kampuni ya HP wenyewe ndio wakazitambua.. polisi hawezi kuona utofauti wa zile wino hata mnunuaji hawezi kuona tofauti yoyote
Faini mlipigwa sh ngapi? HP wapo njema Na bidhaa zao. Ndo maana zinauzwa aghali.
 
Uzi huu umewafukuza wateja 10000 wa simu Kariakoo, biashara zikidorora na frem za maduka kukosa wapangaji lawama site tunaelekeza kwa serikali!
 
Kwanza polisi wapewe nguvu kisheria
Wawe na wataalam wao wa TRA na TBS
Ndo iko hivyo nchi zingine
Sio kila kituo, ni vituo vikubwa hasa mipakani. Hawa polisi wa kwetu wanafanya kazi kwa mazoea, wanajifanya kujua kila kitu, japo wengi kichwani ni zero.
 
Duuh nje Samsung ndani Itel ?? Aki ya nani dunia hii🙄🙄 ila Kariakoo mimi naonaga wenye maduka wote wajanja janja tu sasa sijui tuwe tunanunua wapi vitu.
Wapo wastaarabu....Ila kuwajua kazi Sana,mimi nikitaka ktu kkoo kuna ndugu yangu huwa anajua biashara za simu vzur Sana,so huwa namtumia coz kkoo nishawai kupigwa.

Ukiwa na mfanyabiashara unaemfahamu kkoo kdogo,unahisi amani.
 
Aisee, ni bora kufanya hivo kumtumia mtu anayefahamu hizo bidhaa otherwise kama mimi utapigwa daily🤔🤔
 
Sidhani hata hiki chama cha kuwalinda walaji (consumer protection) kinafanya kazi, hiki ndo kinatakiwa kifuatilie issue kama hizo kuanzia ubora wa bidhaa zinazouzwa madukani na kushughulikia malalamiko kama hayo.
 
Kumbe kuna chama cha kulinda walaji Tz??
 
Ina maana ni sawa na kinachoendelea kule gerezani?..maana stori tunazopata ni kuwa unaibiwa kifaa cha gari alafu unaenda kukinunua kule na maisha yanaendelea kama kawaida tu.
 
Kwanza polisi wapewe nguvu kisheria
Wawe na wataalam wao wa TRA na TBS
Ndo iko hivyo nchi zingine
Polisi wa bongo form 4 hajui hata kutumia kompyuta vizuri zaidi ya kusikilza mziki na movie .

Atawezaje kuwasaidia watu waliotapeliwa kwa bidhaa ya kiteknolojia .

Jeshi la polisi sidhani Kama Lina wataalamu wa kutosha wa hizo kazi pengine hawapo

Sababu sio kipaumbele Chao .

Kuna baadhi ya vitu ukitapeliwa hesabu maumivi polisi hawawezi kukusaisdia kabisa especially nchi hii

Ila wako bize kujua Nani Ni mpinzani na Nani Ni kijani
 
Mwaka 2013 nilinunua simu pale kariakoo. Ile simu ilikuwa inakula vocha bila kupiga simu. Nikairudisha dukani nikaomba hela yangu maana simu ilikuwa fake. Cha kushangaza wauza maduka wote wakataka kunishambulia wakanizonga. Nikawavimbia mno Jamaa akawa analazimisha anibadilishie simu.. Nikakasilika nikaipiga chini nikasepa zangu.
 
Back
Top Bottom