Bahati nzuri sijawahi nunua simu fake huko kwingine.Asilimia 90 ya wote mnao nunua nje ya kariakoo zinatoka huku kariakoo sema mnadanganywa na hao
Kama hujui sinu unapoenda kule bora umshirikishe mtu mwenye uzoefu mana hata ukisema ununue ipo kwny boksi maboksi mbona yapo tu yanatengezwa mzigo unaekwa...Unaandika under assumption kila mtu anajua hilo
Okay, ila ndio tunajuzana sasa, though seems quite obvious, maana simu ni computer siku hizi, lazima uingie kuona details kama unavyokagua RAM, OS, Storage, Resolution ya PC kabla hujainunuaUnaandika under assumption kila mtu anajua hilo
Kama hujui sinu unapoenda kule bora umshirikishe mtu mwenye uzoefu mana hata ukisema ununue ipo kwny boksi maboksi mbona yapo tu yanatengezwa mzigo unaekwa...
NB
UNAPOENDA KUNUNUA SIMU KULE EPUKA SANA YALE MATOLEO YA SIMU YALIYOTOKA MIAKA MITATU NYUMA MFANO SAMSUNG S8 2017, SAMSUNG S9 2018, IPHONE 7, 8,6 HIZI SIMU USIJE ENDA POPOTE HII 2020 UKADANGANYWA NI MPYA.
Okay, ila ndio tunajuzana sasa, though seems quite obvious, maana simu ni computer siku hizi, lazima uingie kuona details kama unavyokagua RAM, OS, Storage, Resolution ya PC kabla hujainunua
Kuna mengi yanasononesha kwenye hii nchi polisi vituo vyote Tanzania nzima kumejaa rushwa lakini serikali Ni Kama vile haioni huu mchezo
Hapo kwenye used ndio shidaSimu kama ni LG mfano
Na huijui umeiona Tu ukavutiwa
Nayo ukakuta ndani kila kitu kiko sawa
Ni 4g .. storage size sawa n.k
Kumbe ule utumbo ni itel.
Wameweka covers za juu na box Tu ndo LG..
Nakupa mfano mmoja..
Je ambayo ni used na sio mpya??Kila kitu Sawa lakini kumbe used hujui??
Nenda Posta, kule no ubabaishaji.Duuh nje Samsung ndani Itel ??aki ya nani dunia hiiila kkoo mimi naonaga wenye maduka wote wajanja janja tu sasa sijui tuwe tunanunua wapi vitu.
Akirudi atasimulia tuUkimteka mmoja wenzake watajuaje na wataachaje?
Tahadhari na wizi huu. Aina za simu ambazo wanaziuza hata hazieleweki. Kuna simu zinaitwa VITU na K-mouse. Wanawatumia mabinti kufanya uhalifu huo. Ukinasa tu umeumia.Jamani na mm nilishapigwa hapohapo maduka yanayotizamana na Shule ya Uhuru nikawaonesha risiti ya Jina la Duka wakanikatalia kabisa
Hawa wauzaji wao wana simu aina nyingi sasa mm nikaletewa aina mojawapo inaitwa Bundy kwa manjonjo na promotion ya kupewa fulana na Betri wakadai niwape 250,000/
wanapenda kukaa kwenye Noah kwenye choo cha kulipia kule Samora baada ya Clock Tower tumebishana wakashuka hadi 175,000/ fulana na Betri wananinyang'anya eti wanatangazia.
Jamani nusu saa hamna kitu simu haina Network, kwa vile nina risiti iliyoelekeza kuwa wapo Plot na Block mitaa ya Uhuru nikaipata, Boss akaniruka nikajua nimepigwa
Baada ya mwezi nikawaona tena wapo Dodoma mitaa ya Nyerere square, wakanivaa na uongo wao basi kwa hasira nikawakoromea na kuwaonesha imeo chao cha Bundy tena imekufa kabisa,
wakaniomba msamaha wakalala kona na mm nikawaambia bora wafungashe naifuata risiti nikawakamate.
Nashangaa mpaka leo bado wanaziuza tu na hawakamatwi
Jamani simu tununue maduka ambayo unaweza hata kuirudisha ukabadilishiwa
Mimi niliuziwa simu feki na nikapewa risiti feki yaani sio ya duka hilo. Nilienda polisi na muuzaji alikamatwa, na pesa aliirudisha sasa unaposema eti hawasikilizi hizo kesi cjui nikueleweje!!Kizamani ile Eti unamkopesha mtu akikataa kulipa unataka kwenda polisi kushtaki, upuuzi huu siku hizi polisi hawa muda na kesi za kijinga kama hizi oooh nimeuziwa mchee wa sabuni,
Eeeh Yani unateka ata wawili mnaenda kuwatawazisha mafuta ya kula ya uvuguvugu...Yani lazima wakasimulianeMkuu wizi na utapeli ni kila kona na mamlaka hazijaamka. Kuna wauza magari wengi matapeli na wana show rooms utafikiri ni watu wa maana kumbe wahuni tu.
Kuna uhuni dawa yake ni kudeal nao kihuni tu maana sheria haitokusaidia kuna mapungufu mengi.