King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,408
- 88,703
Naunga mkono hoja ya safisha safisha wezi wa K/koo.
Mama wa afya Ummy? Maana huyu mpya ndio kwanza kaanza!Wizara ya Mambo ya ndani inahitaji waziri Kama yule mama wa afya. Sio huyu my friend mtu wa watu
Mkuu sayansi kuna mafundi simu wa kueleweka?Mm sim nanunua maduka yanayoeleweka kama Mlimani City pale au mara nyingine naagizia toka nje ya nchi.
Japo zamani nilinunua sim duka la Airtel Mcity nikapata ka usumbufu upande wa softwate wakanambia nipeleke science nikatengenezewa bure .Ila kariakoo sinunui simu japo mm ni mtoto wa DsM .
K/koo kuna mambo ya kishenzi sana pale tena siku hizi wamepunguza sana.
Hawa walinitapeli mwaka jana Samora Avenue mkabala na maktaba ya British Council. Waliniuzia simu mbovu aina ya Vituz kwa 250,000 na t-shirt ya bure. Wanatembea na Noah.Jamani na mm nilishapigwa hapohapo maduka yanayotizamana na Shule ya Uhuru nikawaonesha risiti ya Jina la Duka wakanikatalia kabisa
Hawa wauzaji wao wana simu aina nyingi sasa mm nikaletewa aina mojawapo inaitwa Bundy kwa manjonjo na promotion ya kupewa fulana na Betri wakadai niwape 250,000/
wanapenda kukaa kwenye Noah kwenye choo cha kulipia kule Samora baada ya Clock Tower tumebishana wakashuka hadi 175,000/ fulana na Betri wananinyang'anya eti wanatangazia.
Jamani nusu saa hamna kitu simu haina Network, kwa vile nina risiti iliyoelekeza kuwa wapo Plot na Block mitaa ya Uhuru nikaipata, Boss akaniruka nikajua nimepigwa
Baada ya mwezi nikawaona tena wapo Dodoma mitaa ya Nyerere square, wakanivaa na uongo wao basi kwa hasira nikawakoromea na kuwaonesha imeo chao cha Bundy tena imekufa kabisa,
wakaniomba msamaha wakalala kona na mm nikawaambia bora wafungashe naifuata risiti nikawakamate.
Nashangaa mpaka leo bado wanaziuza tu na hawakamatwi
Jamani simu tununue maduka ambayo unaweza hata kuirudisha ukabadilishiwa
Polisi kumejaa rushwa
uwezo wapolisi wengi kutafakuri ni zero
Mkuu inabidi tuanze na hawa jamaa wa k/koo na mizizi ya polisi wachafu wanaochafua jeshi letu
Haitoshi kulisuka upya bila kuboresha mishahara yao! Mishahara midogo wanayopata nadhani ndiyo inawafanya wapokee rushwa kirahisi ukizingatia na kazi wanazofanya ambazo nyingine ni hatarishi.Ile safisha vyeti fake ilipaswa kupita huku pia. Naamini Polisi wa Tanzania ni moja ya corrupt organization, na wameshaona hawana la kufanywa. Ushauri wangu, Jeshi la Polisi lisukwe upya.
Simu nilikuwa nanunua maduka ya posta tuDuuh nje Samsung ndani Itel ??aki ya nani dunia hii🙄🙄 ila kkoo mimi naonaga wenye maduka wote wajanja janja tu sasa sijui tuwe tunanunua wapi vitu.
Wanajua wajibu wao ila hawataki kufanya kazi.Jukumu la mwananchi wa kawaida ni tu ku report crime imetendeka,
Sio kwamba leo amelizwa aende TBS..
Kesho aende tena police..
NO!
Police wana wajibu, to work cooperatively na other Agencies,kuhakikisha uhalifu hautendeki,na kama umetendeka na kuwa reported kwao..then wawajibike kuchunguza by involving other agencies wanaoweza kusaidia investigation...period,
Simply usiwatetee, police hawajui wajibu wao katika kumlinda mwananchi...
Jamani na mm nilishapigwa hapohapo maduka yanayotizamana na Shule ya Uhuru nikawaonesha risiti ya Jina la Duka wakanikatalia kabisa
Hawa wauzaji wao wana simu aina nyingi sasa mm nikaletewa aina mojawapo inaitwa Bundy kwa manjonjo na promotion ya kupewa fulana na Betri wakadai niwape 250,000/
wanapenda kukaa kwenye Noah kwenye choo cha kulipia kule Samora baada ya Clock Tower tumebishana wakashuka hadi 175,000/ fulana na Betri wananinyang'anya eti wanatangazia.
Jamani nusu saa hamna kitu simu haina Network, kwa vile nina risiti iliyoelekeza kuwa wapo Plot na Block mitaa ya Uhuru nikaipata, Boss akaniruka nikajua nimepigwa
Baada ya mwezi nikawaona tena wapo Dodoma mitaa ya Nyerere square, wakanivaa na uongo wao basi kwa hasira nikawakoromea na kuwaonesha imeo chao cha Bundy tena imekufa kabisa,
wakaniomba msamaha wakalala kona na mm nikawaambia bora wafungashe naifuata risiti nikawakamate.
Nashangaa mpaka leo bado wanaziuza tu na hawakamatwi
Jamani simu tununue maduka ambayo unaweza hata kuirudisha ukabadilishiwa
Tanzania kunavituko sana kuanzia hao wauzaji hadi wanunuaji. Utanunuaje simu imeandikwa Bundy (Bundi?) Ulisikia wapi?
Kweli mkuu, wale jamaa ukiwaachia simu imekula kwako hadi baadhi ya vifaa wanaiba wanakuwekea fekiWatu mkija kariakoo mje na wazoefu, sisi tunajua michezo yao yote tena hata mafundi simu wanawapiga sana dada zetu hasa wale wenye wameweka miamvuli kwa nje aisee, utawaonea huruma ila unakausha ndio maisha
ohoo hii balaa ... Sasa utafaham baada ya kufungua cover au hata kwa kuiangalia tu mkuu! Maana ni ngumu sana kupigwa kwa namna hiyo labda simu kama hautoiwasha hapohapo mbele yao. na kila brand ya simu ina namna yake ya ku display once inapokuwa ONKwa brand kama LG au Sony wakikuwekea
Ndani itel huwezi jua kama sio mjanja
Ni wezi sana sana hapo kkoo na polisi wanajua kila kitu
Wabongo ni tatizo kubwa sana, kwanini msiende kununua simu kwa wahindi au mlimani city.Mkuu nakubaliana na wewe kabisa, kuna kisa kingine ngoja nikiweke hapa, kuna jamaa mmoja alinunua iphone kwenye duka fulani k/koo pia na risiti kapewa kila kitu sasa ile simu ametumia kitambo tu sasa hivi juzi juzi kapigiwa simu na polisi kuwa anatuumiwa kwa kununua simu ya wizi jamaa akawauliza ni nani uyo anasema hii ni simu yake polisi hawana cha kusema sasa kesi imeenda hadi jamaa akawaambia polisi twendenj niwapeleke dukani sasa cha ajabu walivyofika k/koo walikuta lile duka limefungwa jamaa mwenye iPhone akijaribu kumcheki mwenye duka aeleweki sasa kumbe jamaa mwenye iPhone akagundua kuna mchezo mchafu unaendelea kati ya muuza duka na polisi, wito wangu kuweni makini sana na hawa wauza simu haka kamchezo sio powa kabisa watu wanalizwa wengi sana
Ndio maana nakwambia Nyie Dawa yenu nikusomewa visomo na kufukiwa mbuzi mzima ili uoze utumbo.Mimi niko mbali kweli kwenye maisha yenu ya kula vumbi la mavi..yaani mbali mno....
Inaonekana nyie wote mazwazwa mmepigwa na hamtaki kuambiwa ukweli
Unaleta utopolo wako hapa Jf, na ushaambiwa leta vielelezo ndio polisi watahusika
Kizamani ile Eti unamkopesha mtu akikataa kulipa unataka kwenda polisi kushtaki, upuuzi huu siku hizi polisi hawa muda na kesi za kijinga kama hizi oooh nimeuziwa mchee wa sabuni,