mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 475
- 1,453
kila mtu ana sababu ya kupenda kitu flani, hata kwenye ujenzi wa nyumba kila mtu ana sababu ya kupenda muenekano flani wa nyumba yake moja ya eneo ambalo kwangu ni either nimekuwa mshamba na sijaelimika bado ni kwenye finishing ya nyumba kiufupi napenda nyumba simple lakini safi mfano rangi ya nyumba kwa nje napenda rangi nyeupe tu , hizo zingine hazinishawashi bado, paa ra nyumba napenda liwe na urefu wa kati tu liandane na nyumba tu , paa refuuu hapana , paa fupi limelala hapana, ukuta napenda uende na tofali kumi na nne tu , kumi na tatu hapana , kumi na tano hapana, msingi wa nyumba napenda uwe mrefu ukipungua sana uwe na ngazi tatu
, kwa sababu kama hizi nimependa hadi dari la nyumba liwe simple tu piga zangu gypsum board , no maua , namini fashion mara ua hili mara lile linafanya nyumba iwe ina boa , wale mnaoweka gysum board ukutani kwa upande wangu naona mnachafua nyumb tu tiles ninazopenda ni zile Zenye rangi moja tu na saizi ya kati tiles kubwa hapana, ndogo hapana, kati ya vibanda vyangu sijawahi kuchonga grill ( mlango wa chuma) bado sijaelewa kwa sababu mlango wa mbao kwangu naupenda kwa muenekano, kama kuna kitu sikipendi basi ni ule urembo wa nyumba mara urembo dirishani, mara nguzo zimewekwa urembo ddh hiki siji kufanya je wewe unapenda nyumb yako iweje iweje