GE2025 Wewe siyo Rais wangu!

GE2025 Wewe siyo Rais wangu!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,061
Reaction score
136,424
IMG_8598.jpeg

Ndiyo, wewe hapo kwenye hiyo picha.

Wewe siyo rais.

Hujashinda uchaguzi wowote ule na unalijua hilo na kila mtu analijua hilo.

Hujapigiwa kura na watu milioni 31.

Hujapata 97.6% ya kura zilizopigwa kwa sababu hakuna kura zilizopigwa.

Hilo unalijua kabisa hata ujikaushe namna gani.

Huna uzalendo wowte ule wewe.

Huna uwezo wowote ule wa kuwa kiongozi.

Toka lini mshindi wa 97.6% anaogopa kuapishwa hadharani?

Hao watu milioni 31 waliokupigia kura hiyo tarehe 29 Oktoba 2025, picha zao wakiwa wamepanga mistari kusubiri kukupigia kura wewe, ziko wapi?

Wewe na hao vibaraka wako wa tume ya uchaguzi mkajitungia idadi ya ajabu ya watu waliokupigia kura!

Dunia nzima inaucheka huo “ushindi” wako.

Umeandika rekodi mpya duniani ya kuwa mtu wa kwanza kushindana kwenye uchaguzi na nafsi zako wewe mwenyewe: Samia vs Suluhu vs Hassan 😂.

Huna lolote. Huna uhalali

Na endelea kudhani kuwa wewe hugusiki…..halafu tuone utaishia wapi!
 
Basi inatosha tena, tuwekeze akili zetu na maarifa yetu katika kuiendea Tanzania tunayoitamani, sisi tuliyopata kubahatika kuwa kwenye JF, tutumie nyenzo hii kama chachu ya kuponya majeraha si kuwa wachochezi katika jambo ambalo kiuhalisia limeshakwisha, mlango wa mazungumzo upo wazi tuhsauriane, tuelekezane katika kuleta amani, upendo na maendeleo ya watanzania.
 
Nope.

She will never ever be comfortable. I won’t let that happen.

Alichofanya hakisameheki na wala hakisahauliki.

Kaiaibisha Tanzania.

Watu wanauliza inawezekanaje mtu apate ushindi wa asilimia 97.6 halafu kwa wakati huo huo watu wanaandamana kumpinga?

Hizo kura milioni 31 alizozipata zilihesabiwa wapi?

Tanzania imekuwa kituko cha dunia.
 
Basi inatosha tena, tuwekeze akili zetu na maarifa yetu katika kuiendea Tanzania tunayoitamani, sisi tuliyopata kubahatika kuwa kwenye JF, tutumie nyenzo hii kama chachu ya kuponya majeraha si kuwa wachochezi katika jambo ambalo kiuhalisia limeshakwisha, mlango wa mazungumzo upo wazi tuhsauriane, tuelekezane katika kuleta amani, upendo na maendeleo ya watanzania.
Acha kuota ndoto za mchana kuhusu upendo.
Walioshika bunduki hawajali upendo wala haki kwa Watanzania wenzao, wao wako brainwashed wanalinda maslahi ya watawala na wanyonyaji rasilimali na kodi.
 
Basi inatosha tena, tuwekeze akili zetu na maarifa yetu katika kuiendea Tanzania tunayoitamani, sisi tuliyopata kubahatika kuwa kwenye JF, tutumie nyenzo hii kama chachu ya kuponya majeraha si kuwa wachochezi katika jambo ambalo kiuhalisia limeshakwisha, mlango wa mazungumzo upo wazi tuhsauriane, tuelekezane katika kuleta amani, upendo na maendeleo ya watanzania.
You killed those children
No way somebody can come out and see this as normal.

The new normal is coming!!
 
Ukweli, rough ni nyingi. Kwa mujibu wa katiba haina namna ndio Mh Rais , mitano tena.
Hata kwa mujibu wa katiba siyo rais!

Kwani kachaguliwa kwa uchaguzi gani?

Hizo kura zilihesabiwa wapi?

Ushahidi wa hizo kura milioni 31 alizopigiwa uko wapi?

Huyo si Rais.

Huwezi ukachaguliwa kwa 97.6% halafu uzime internet, uapishwe uani.
 
Hata kwa mujibu wa katiba siyo rais!

Kwani kachaguliwa kwa uchaguzi gani?

Hizo kura zilihesabiwa wapi?

Ushahidi wa hizo kura milioni 31 alizopigiwa uko wapi?

Huyo si Rais. Ni lidubwasha tu lililojiweka hapo.

Huwezi ukachaguliwa kwa 97.6% halafu uzime internet, uapishwe uani kwenye kambi ya mgambo….
Ni kweli mkuu. HP alishatutonya mchezo wao, lakini ndio kaapishwa .

Hapa ni kuangalia alternative ingine, ila hapa tumepigwa bao
 
Ni kweli mkuu. HP alishatutonya mchezo wao, lakini ndio kaapishwa .

Hapa ni kuangalia alternative ingine, ila hapa tumepigwa bao
I don’t care kama kaapishwa.

Pia alijitangaza kwa kupitia kibaraka wake mwenyekiti wa tume.

Hivyo yeye kujitangaza naye yeye kujiapisha, hakumfanyi awe halali.

Huyo si Rais aliyechaguliwa na watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom