GE2025 Wewe siyo Rais wangu!

GE2025 Wewe siyo Rais wangu!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Urais wake ni wa damu, kamwe hawezi kuwa na amani, kila akilala ataota anaua, damu za watu zitamlilia hadi kizazi chake cha 4.
Mungu atasimama, hatamaliza awamu yake hii ya miaka mitano. Huyu atakufa. Hana kibali mbele za Mungu. Huyu atarudi kizimkazi akiwa kwenye fridge.
 
Afe haraka.
 
Huyu ni rais Haramu, Kila mtu analijua hilo, huku mtaani hakuna mtu anayemkubari
 
Basi inatosha tena, tuwekeze akili zetu na maarifa yetu katika kuiendea Tanzania tunayoitamani, sisi tuliyopata kubahatika kuwa kwenye JF, tutumie nyenzo hii kama chachu ya kuponya majeraha si kuwa wachochezi katika jambo ambalo kiuhalisia limeshakwisha, mlango wa mazungumzo upo wazi tuhsauriane, tuelekezane katika kuleta amani, upendo na maendeleo ya watanzania.
Wewe toka umejitambua umewahi shuhudia uchaguzi wenye umwagaji damu kama huu tanganyika? Unatakiwa kuacha unafiki mkuu, hiyo ni dhambi...waliouwawa sio kuku bali ni binadamu kama wewe!
 
Kuna sababu zilizopelekea hali tuliyonayo, lakini tusisahau kuwa sisi ni wanadamu — maamuzi yetu lazima yawe ya kibinadamu, siyo ya wanyama.

Fujo haziwezi kushinda dola, wala chuki haiwezi kuleta haki. Kama tungechagua njia ya amani — kupiga kura, kusema kwa busara, na kurudi majumbani kwetu — leo tusingekuwa tunahesabu majeruhi na vifo.

Mitandao ya kijamii si silaha, ni daraja la maelewano. Tusitumie kuhamasisha fujo bali tuitumie kueneza ukweli, upendo na utulivu.

Kumbuka: “Usijitengenezee maangamizo kwa mikono yako.”
Amani inaanzia na wewe. 🤝

#AmaniKwanza #UsichocheeFujo #TanzaniaYaAmani #Tujitambue
 
Shame on, what's these gibberish you fool
 
Kiukweli nimemaindi yani sijui kule Ikulu kuna nini aisee mpaka mtu kufikia kiwango hiki cha tamaa.

Halafu eti anataka kutusahaulisha kwa kufanya muafaka wa kitaifa eti awaite baadhi ya wazee (akiwemo na yule snitch wa Taifa) eti kuponya majeraha.

Mkunda ni mtu wa ajabu sana, mi tangu mda niliweka doubt kwake kuwa huyu ni sehemu ya wahujumu nchi.
Anawaita raia wake wahalifu😂
 
Kuna sababu zilizopelekea hali tuliyonayo, lakini tusisahau kuwa sisi ni wanadamu — maamuzi yetu lazima yawe ya kibinadamu, siyo ya wanyama.

Fujo haziwezi kushinda dola, wala chuki haiwezi kuleta haki. Kama tungechagua njia ya amani — kupiga kura, kusema kwa busara, na kurudi majumbani kwetu — leo tusingekuwa tunahesabu majeruhi na vifo.

Mitandao ya kijamii si silaha, ni daraja la maelewano. Tusitumie kuhamasisha fujo bali tuitumie kueneza ukweli, upendo na utulivu.

Kumbuka: “Usijitengenezee maangamizo kwa mikono yako.”
Amani inaanzia na wewe. 🤝

#AmaniKwanza #UsichocheeFujo #TanzaniaYaAmani #Tujitambue
Njia ya Amani ingekuwa inazingatiwa naimani watu wasingefikia hatua ya kufanya maandamano na fujo.

Kiongozi mwenye hekima hung'atuka ili kuepusha zahama na kadhia kwa wananchi endapo ataona hawezi kuwa na muafaka na mapendekezo yao.

Kinyume cha kutumia hekima ku deal na raia ndio hivyo kutumia mabavu na kuumiza watu wasio na hatia.
 
View attachment 3496682

Ndiyo, wewe hapo kwenye hiyo picha.

Wewe siyo rais.

Hujashinda uchaguzi wowote ule na unalijua hilo na kila mtu analijua hilo.

Hujapigiwa kura na watu milioni 31.

Hujapata 97.6% ya kura zilizopigwa kwa sababu hakuna kura zilizopigwa.

Hilo unalijua kabisa hata ujikaushe namna gani.

Huna uzalendo wowte ule wewe.

Huna uwezo wowote ule wa kuwa kiongozi.

Toka lini mshindi wa 97.6% anaogopa kuapishwa hadharani?

Hao watu milioni 31 waliokupigia kura hiyo tarehe 29 Oktoba 2025, picha zao wakiwa wamepanga mistari kusubiri kukupigia kura wewe, ziko wapi?

Wewe na hao vibaraka wako wa tume ya uchaguzi mkajitungia idadi ya ajabu ya watu waliokupigia kura!

Dunia nzima inaucheka huo “ushindi” wako.

Umeandika rekodi mpya duniani ya kuwa mtu wa kwanza kushindana kwenye uchaguzi na nafsi zako wewe mwenyewe: Samia vs Suluhu vs Hassan 😂.

Huna lolote. Huna uhalali

Na endelea kudhani kuwa wewe hugusiki…..halafu tuone utaishia wapi!
I think mtu wa kwanza kumlaumu ni Magufuli kwa kutuletea Vice president asiye na uwezo. Kwa kweli hii ni aibu.
 
Njia ya Amani ingekuwa inazingatiwa naimani watu wasingefikia hatua ya kufanya maandamano na fujo.

Kiongozi mwenye hekima hung'atuka ili kuepusha zahama na kadhia kwa wananchi endapo ataona hawezi kuwa na muafaka na mapendekezo yao.

Kinyume cha kutumia hekima ku deal na raia ndio hivyo kutumia mabavu na kuumiza watu wasio na hatia.
Wanaopanga maandamano hawaandamani, wanaodhurika ni wale waliyoshawishiwa tu kuandamana.
Vyombo vya ulinzi na usalama vilitoa angalizo la kudumisha amani wakati wa uchaguzi na kuachana na mambo ya uvunjifu wa amani, lakini kuna baadhi ya watu walikaidi na hata kuchoma vitu moto.
 
Unadhani unaweza ukapanga maamdamano katika nchi ambayo haitaki maandamano na ukafanikiwa? Utakuja kubebwa au kupotezwa kabla hata hujamaliza ku organize kwa title ya "mhalifu."

Cha ajabu situation huwa tofauti sana kama maandamano hayo yatalenga kukipamba chama dola.
 
Ni ukweli usiopingika kwamba kufanya maandamano ya kupinga chama dola ni next to impossible, na nadhani hichi kilichofanyika ni kama kilikuwa kwenye probability zao na kuwaingiza wale wote waliyohusika kwenye makosa.
 
Kwahiyo sioni mahala pa kuwalaumu waandamanaji au organizers wa maandamano toka nje ya nchi. They did what they thought would cause impact and alert to the oppressors.
Ni ukweli usiopingika kwamba kufanya maandamano ya kupinga chama dola ni next to impossible, na nadhani hichi kilichofanyika ni kama kilikuwa kwenye probability zao na kuwaingiza wale wote waliyohusika kwenye makosa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom