Hapana.Kinachoniuma ni wote walokufa ni kama they died for nothing 😭
Hapana. Vita bado haijaisha mbona…..Hii vita ni kama tumepoteza
Roho na nafsi inauma sana kwa wazalendo waliofia nchi yao for nothing
Samia stumbles kwa haya!Huyu bibi hata usiku hatokua analala. Hatoishi kwa amani siku zote atakazoishi kwenye hii dunia
Ushindi ambao watu milioni 31 waliomchagua wameshindwa kuusherehekea 😂.Ushindi ambao hata wanachama wake wanaogopa vaa nguo za chama chao.
Uzuri hili swala haliishi leo wala kesho mwendo wa kuviana tu maana barrier hawataziweka milele
Hata wao wanashangaa kilichotokea.Ushindi ambao watu milioni 31 waliomchagua wameshindwa kuusherehekea 😂.
Hana kabisa uhalali. Analazimisha tu.Kwa mauaji aliyofanya huyu mama anakosa uhalali kabisa wa kuwa the so called president