Wewe ni nani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wewe ni nani

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Deejay nasmile, Jan 19, 2012.

 1. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  [h=6]Binti mmoja alichumbiwa na mwanajeshi mmoja. Wote wawili walikuwa wanapendana sana.
  Siku moja yule binti alitaka kumpima mchumba wake aone anampenda kwa kiwango gani.
  Binti akamwandikia mchumba wake kumwambia."Nimeamua kusitisha uchumba na wewe
  coz nimepata mchumba mwingine anayenipenda zaidi. Naomba unirudishie picha yangu uliyochukua"
  Mjeda alipopata barua kutoka kwa mchumba wake; alisononeka sana.
  baada ya kufikiri sana, akapata wazo ili angalau naye apunguze machungu.
  Akaomba picha za wake zamarafiki zake pale kambiniakapata karibu picha 200,
  akaandika barua ya kumjibu akasema
  "Nimekusahau, wewe ni nani? Angalia katika picha hizo uchukue picha yako.[/h]
   
 2. Rosweeter

  Rosweeter JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 1,136
  Likes Received: 3,890
  Trophy Points: 280
  Imetulia mkuu
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2012
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  safiiii!!!!
   
 4. sakapal

  sakapal JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,824
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  lol jamani hii ni c & p yaani copy and paste tena leo leo hata hungoji ilale lol! kuwe na copy right basi mode note hii mtu unafungua threads zenye heading tofautitofauti unafikiri another joke kumbe repitition. aah!
   
 5. driller

  driller JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 1,119
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  thaks imetulia
   
 6. b

  bigambo Senior Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  we mkali, jino kwa nyundo
   
 7. Wang'wise

  Wang'wise JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 273
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  :lol:
  Duh, sa sijui kama binti lengo lilitimia.
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaaaa kweli alimuweza
   
 9. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mdada hapo atajuta kumjaribu
   
Loading...