Sheria zipi ulizowahi kujiondolea?Kweli kabisa mkuu.
Hata mm kuna muda huwa najaribu kuishi kama nakujiondolea sheria nilizozikuta na najikuta naienjoy sana maisha.
Haya mambo ya dini na tamaduni tulizokuwa tuna simuliwa na mababu zetuSheria zipi ulizowahi kujiondolea?
Sasa kwahiyo ukawa na Uhuru gani kuachana na mambo hayo?Haya mambo ya dini na tamaduni tulizokuwa tuna simuliwa na mababu zetu
Nikaiweka fikra yangu huruSasa kwahiyo ukawa na Uhuru gani kuachana na mambo hayo?
Fafanua bado unaongea mambo ya kufikirika,weka mambo kwenye uhalisia mkuu ili niweze kufahamu huo Uhuru.Nikaiweka fikra yangu huru
Hoja zako ndugu zipo weak sana. Hujamuelewa vyema mleta mada, pengine na udini pia unachangia.Eti Uhuru kuwa huru
Uhuru gani mnauzungumzia haswa naona hamjawa wazi.
Aliyetengeneza gari alitoa masharti ya kuliendesha
Linahitaji mafuta, maji nk.
Wenzetu mnaodai uhuru, hebu mgundue chakula chenu tofauti na kile aliyewaumba amewaagiza mle.
Undeni hewa yenu ya kupumua
Tengenezeni maji yenu ya kunywa kwa kutafakari na kumediteti
Muwakae wanawake wasiwe wasaidizi wenu, mtengeneze aina yenu ya wasaidizi kama mnawataka
Kumbukeni mmejikuta mmezaliwa bila kuingia mkataba na mtu yeyote.
Nani mlikubaliana naye muwe wanawake au wanaume ?
Semeni wazee wa kutafakari
Leteni majibu.
Kama mmejigundua mmezaliwa bila hiyari yenu inabidi muingiwe na woga kwanza wa kuona kwanini mpo bila kuhusika katika makubaliano ya kuwepo kwenu.
Pia kwanini mlipoambiwa ,samaki, wanyama, majani ya miche na matunda, kitakuwa chakula chenu mlikubali bila kubisha.
Kwani hamuwezi kubuni chakula chenu kwa kutahajudi jadidi ?
Si mnahekima nyie, muwakatae na mama zenu kwani mnapenda eti kujipangia mambo kwa kutafakari, nani aliwachagulieni mama zenu wakuzaeni nyie, kwanini hamkushiriki kuwachagua mama zenu badala ya hao walio wazaa.
Nataka kuwaelimisha tu kuwa iko asili na ndiyo inayopanga mwanzo na hatima zetu.
Sisi tuna uhuru wa kufanya tunayo amrishwa na mu asili wetu
Kumbuka hata sasa ukitaka kufa huwezi ukafa hadi uchukue ki adui cha kukuwezesha kujiua.
Kwanini usife tu kwa kutafakari kijadidi ?
Yako mambo na kanuni umewekewa na aliye ku plani uwe, na inabidi uyafuate utake usitake kama unabisha anza leo kula mchanga badala ya chakula ulichoamliwa ule halafu subiri mwisho wake.
Mtoto mdogo akitakari kutaka kuendesha lori la mchanga litamshinda tu hataweza.
Wewe una mambo ya makamu yako ya kuyawaza na kuyafanya yameandikwa kwenye vitabu yanafundishwa mashuleni.
Wengine mnataka eti mutafakari hadi muache kiwiliwili chenu na kusafiri na roho au nafsi mtakuja kufa bule, sio mambo ya makamu yenu,
Huyo aliyewaumba atawapa uwezo huo wakati atakapo ona inafaa, kama wewe unavyo amua kumpeleka mtoto shule wakati wewe mzazi unapoona sasa amekomaa kuweza kusoma.
Mumsikilize huyo aliyewaleta duniani kuwa anataka mfanye nini cha makamu yenu.
Eti mnajidanganya tunaka kuwa huru...!
Mlijiumba ? au nyinyi ni mali yenu hata mutake kujiamulia mambo.
Mnajua jicho lenu moja tu lina thamani kuliko madini ya dunia yote ikiyauza na huwezi kulinunua.
Ivi watoto wenu hamuwafundishi lolote ? kwani hamutaki kuwapa uhuru wajitafakari na kujiamulia mambo yao wenyewe bila bugdha yenu.
Mbona hamkatai kuwa na macho, eti mna tegemea jicho la tatu, ng'oeni basi hayo mawili mtumie hilo la tatu.
Wacheni ujinga someni biblia takatifu mtapata maaria ya huyo aliyewaumba anataka nini mfanye.
Hapa hakuna uhuru, yaani mtu akuumbe halafu useme una uhuru wa kumtukana, we unakubali mtoto wako akutukane hadharani kwakuwa yuko huru kuchagua cha kusema ?
Unaweza kujitegemea hadi uwe huru? yani ujitengeneze mwenyewe na ujiishi mwenyewe.
Kama unategemea mwili uliobuniwa na kutengenezwa na mtengenezaji wako na unakula chakula chake na kunywa maji yake na kuvuta hewa yake halafu unasema uko huru unajidanganya.
Utatafakari hadi uchanike nyongo, lazima umsikilize na kufuata maagizo ya anayekulisha chakula, la sivyo utakiona cha mtema kuni kama anavyosema
na kibaya zaidi uwezo wa kumkimbia huna, ha....ha....ha....loh...
Someni biblia takatifu kwani hekima yenu ipo humo.
Ufahamu wenu umeelezwa,
Muumbaji wenu amejidhihilisha humo.
Nani unapaswa ufanye utasoma humo
Hayo mengine yanatoka kwa Ibilisi anayetaka kuwapoteza kama yeye alivyo potea.
Samahanini sina nia ya kuwaudhi bali kuwaonyesha Njia, Kweli na Uzima wenu ulipo
Uku huru kuchagua, Kifo au Maisha.
Mkuu ushapata jibu kuwa we ni nani?Hoja zako ndugu zipo weak sana. Hujamuelewa vyema mleta mada, pengine na udini pia unachangia.
Hivyo vyote ulivyozungumza ni sifa ya AKILI.
Akili ni kama chombo tu kwa mwanadamu, akili sio mtu, kuna msemo unasema "treat thing as a thing but not let thing treat you as a thing." most of us tunakuwa treated as a thing na akili.hivyo tunaukosa uhuru just for one minute, Akili ina faida zake nyingi tu lakini pia ni kikwazo pia kwa mwanadamu kuwa huru.
Umezungumzia kuwa tusipo pata chakula tunakufa.labda nikuulize je unajuwa wewe ni nani? Actually death is an illusion, mwanadamu huwa hafi wala hakuwahi kuzaliwa wewe au mimi its nothing but collection of environments.hivyo basi tusipokula au kukosa hewa vitavyokufa ni mwili wa hisia(emotional body), mwili unaohifadhi nguvu(etheric body), mwili wa akili(lower mental body) na huu mwili tuliozoea kuuona physical body,na hivi ni vyombo tu vya mwanadamu. Tunaogopa kufa au kuwa na wasiwasi kuwa itakuaje ni kwasababu akili inamtumia mwanadamu badala ya kinyume chake.
Umezungumzia suala la ufahamu, ufahamu ndugu haupo kwenye vitabu, vinavyokaa kwenye vitabu mara nyingi ni maarifa. Kuna tofauti kati ya consciousness and knowledge.
Kwa nilichomuelewa mleta mada ni kuwa muda mwengine tunapaswa kuweka pembeni mwili wa akili na mwili wa hisia,angalau hata kwa dakika tano,kwani akili ndio kikwazo huo uhuru unaozungumziwa.
Kwa taarifa yako tu vipo vituo(centers of cosciousness) vingi tu vya ufahamu,death ni other state of consciousness, tukienda kulala we enter other state of consciousness, when we dream tunakuwa kwenye state of cosciousness. Hapa tulipo tunadhani ni real but hii pia ni other state of consciousness.Consciousness ni illusion.
Ulishawahi kujiuliza ukiwa umelala usingizi mzito (dreamless sleep) unajuaga upo wapi??
Ndio. Ila kama ukitaka nikuambie haitakusaidia, ni sawa una njaa unaenda hotelini unasoma menu ya msosi na kuondoka ukiamini kuwa umekula.Mkuu ushapata jibu kuwa we ni nani?
Mkuu itasaidia kwa sababu hili swali la "wewe ni nani?" limekuwa kama fumbo.Ndio. Ila kama ukitaka nikuambie haitakusaidia, ni sawa una njaa unaenda hotelini unasoma menu ya msosi na kuondoka ukiamini kuwa umekula.
Yes kama kilichomkuta Kitila Mkumbo.ndio maana wengine wanajikuta tu mahala fulani kwasababu ameteuliwa/kupendekezwa ila si yeye!
tunaishi kufuata mawazo ya wengine.
Hivi unaweza ukala embe halafu ukanielezea radha yake na mimi nikaipata vile vile kwa maneno?Mkuu itasaidia kwa sababu hili swali la "wewe ni nani?" limekuwa kama fumbo.
Hivyo jibu lako litatoa idea ni nini hasa kinachomaanishwa kwenye kujitambua wewe ni nani.
Hiyo haiwezekani lakini kuelezea ladha ya embe inawezekana kiasi cha mtu kujua inafananaje.Hivi unaweza ukala embe halafu ukanielezea radha yake na mimi nikaipata vile vile kwa maneno?
Sawa kama ni mtazamo wako.Ivi siku zoote hizi hujui wewe ni nani?
Unapoitwa na kuitika
"Naam"
Ivi unajuaje kama umeitwa wewe ?
Au mtu akikuambia wewe ni "KOBE"
Utakubali ?
Kama utakataa basi unajijua kuwa wewe siyo kobe bali ni ......
na unatambua
Tena wewe ni wa jinsia
ya .....
na unajua
Na tufanye "MTU" kwa mfano wetu akatawale nchi na kila kilichomo.
Nina
Mwili....umbo
Nina
Nafsi....mimi
Nina
Roho...uzima
Jumla
Mtu...Binadamu.
Mwili...
-fomula ya kuniwezesha kuishi duniani hapa nilipo.
-mtendaji mkuu wa hapa duniani
-mf. Kupiga, kulima
-Huzaliwa, hukua,hufa
Nafsi...
-Utambulisho wangu unaonitofautisha na wewe, yeye,
-mwamuzi wa mambo hapa nilipo
-mf. Nakupenda, nitakuoa.
-Ukifa mwili anabaki na Roho
Roho...
-Uhai, uliopulizwa na pumzi ya Mungu,
-kiongozi mwenye mahusiano ya karibu na Mungu.
-Hafi, hauwawi na ki-adui chochote isipokuwa Mungu pekee ndiye anayeweza kumtowesha pamoja na utambulisho wake, Nafsi.
Samahanini ni mtazamo wangu tu.