Wewe ni nani?

Wewe ni nani?

Ivi siku zoote hizi hujui wewe ni nani?
Unapoitwa na kuitika
"Naam"
Ivi unajuaje kama umeitwa wewe ?
Au mtu akikuambia wewe ni "KOBE"
Utakubali ?

Kama utakataa basi unajijua kuwa wewe siyo kobe bali ni ......
na unatambua

Tena wewe ni wa jinsia
ya .....
na unajua

Na tufanye "MTU" kwa mfano wetu akatawale nchi na kila kilichomo.

Nina
Mwili....umbo

Nina
Nafsi....mimi

Nina
Roho...uzima

Jumla
Mtu...Binadamu.

Mwili...
-fomula ya kuniwezesha kuishi duniani hapa nilipo.
-mtendaji mkuu wa hapa duniani
-mf. Kupiga, kulima
-Huzaliwa, hukua,hufa

Nafsi...
-Utambulisho wangu unaonitofautisha na wewe, yeye,
-mwamuzi wa mambo hapa nilipo
-mf. Nakupenda, nitakuoa.
-Ukifa mwili anabaki na Roho

Roho...
-Uhai, uliopulizwa na pumzi ya Mungu,
-kiongozi mwenye mahusiano ya karibu na Mungu.
-Hafi, hauwawi na ki-adui chochote isipokuwa Mungu pekee ndiye anayeweza kumtowesha pamoja na utambulisho wake, Nafsi.

Samahanini ni mtazamo wangu tu.
Binadamu hana roho wala mwili, lakini yupo yeye kama yeye without shape .Kinachoonekana kwa sasa ni illusions in physical world.
 
Pazuri hapa, natamani watu wanaofikiri ki-ccm ccm wakiongozwa na kamanda kutoka Kolomije wangepitia hapa.
Unajikuta eti umezaliwa eneo fulani na kujidai eti you belong to the tribe in the area kumbe baba yako alibambikiwa! Kama unaitwa fulani alafu unajidangaya kwa kudhani ni identity ya mwili wako jikumbushe tu kidogo kuwa hata ukikatika miguu na mikono yote bado ni wewe yule yule dalili kwamba hata mwili wote ukifa (deteriorate) unaendelea kuwepo ...kwa hiyo existence yako ni zaidi ya mwili uliomo!
 
Elimu ya kujua wewe ni nani ni nzuri na muhimu sana, Musa alipoambiwa aende kuwaongoza wana wa Israel kutoka Misri akajibu kuwa siwezi kuongea vizuri akaambiwa aende na nduguye Harun atamsaidia ni hii ni kwa kuwa Musa hakujua yeye ni nani endapo angejua angelienda pasina maswali. Mi nadhani kujua wewe ni nani ni muhimu sana lakini tatizo huja pale kujua ni njià zipi za kujijua hapa ndiyo huzua utata na watu kwenda njia za kishetani.
 
Chukua kioo jitazame kisha ujiulize kwa sauti ya kusikia ww, mm ni nani. Jibu utalipata hapo hapo.
 
Habari wana jamvi.

Natumai kila mmoja yupo sawa kabisa. Nimekuwa nikijiwekea utaratibu wa siku za weekend nikiwa off duty, kuwa mbali na simu , tv ,pc au kitu chochote cha teknlojia kitacho chukua atention. Saa za zingine naamua kuchukua peni na note book yangu na kuamua, either kukaa somewhere kwenye fresh air, au kwenye mchanganyiko wa watu kuangalia mizunguko na pilika zao.

Nilicho gundua kuwa mind yako inavitu vingi sana ambavyo unaweza faida navyo, tatizo hutoi au hauipi muda wa yenyewe ku manifest zaid ya kuangalia au kusoma wanacho sema wengine,.

Jaribu siku moja kufanya hivyo utakuja gundua mengi.

Lengo la uzi si hilo lakini ni jambo linalo husiana na hilo ukiangalia kwa undani.

Labda nianze na maswali machache, mengine wadau au mwenyew unataweza jiuliza na kujiongeza kichwani.

JE , WEW NI NANI??

IDENTITY AU UTAMBULISHO WAKO NI JINA ULILO PEWA??

UTAMBULISHO WAKO NI DINI?, KABILA?

IKITOKEA UKIBADILI DINI UTAMBULISHO WAKO UTAKUWA NIN??

UKIJIPA AKA AU JINA MBADALA UTAMBULISHO WAKO UTAKUWA MWINGINE??

Kwa kifupi tumekuwa watumwa au kufungwa kimawazo na kiimani, kupigania fake identity, image ya kutengenezewa na watu wanaotuzunguka.

Ukifikiria kwa undani utakuwa hata tabia, mienendo yako ya sasa si yako bali ni ishu unayo tawaliwa na system uliyowekewa na watu waliokupa hiyo fake identity na wewe unaisha kuifata.

Mfano, umezaliwa ukaambiwa wewe ni imani flan au kabila flan. Basi utajifunza njia na jinsi ya kuishi kulingana na hizo imani, why usijifunze kuishi kulingana na nafsi yako ilivyo ndani??

Mwisho wa siku huwezi kuwa full package kabisa au kutumia vipawa vyote ulivyo umbiwa navyo, kwa sababu vimefukia baada ya wewe kuacha your true identity, utambulisho wako halisi na kufata identity walizo weka wengine, kipindi haupo duniani..
.View attachment 490393

Ishi kwa uhuru japo kwa wiki, bila kufungwa na sheria zozote za identity yako, then utaona mengi sana.
Hii ipo kinyume na Mungu si ishauri itumike ndivyo sivyo maana wengi wamejikuta mashoga, wasagaji, wauaji na nk kwa sababuu yakujisikiliza wao ni na nani inborn
 
Namnukuu sir Andy change"lengo kuu la free mason katika first degree Ni kukuweka huru kifikra na kimwili, second degree kukufanya ukitambua na kufurahia maisha kwa kiwango cha juu kabisa, na third degree Ni uhuru wa kiuchumi. Nadhani kuna mambo Ya kujifunza hapo.
 
Habari wana jamvi.

Natumai kila mmoja yupo sawa kabisa. Nimekuwa nikijiwekea utaratibu wa siku za weekend nikiwa off duty, kuwa mbali na simu , tv ,pc au kitu chochote cha teknlojia kitacho chukua atention. Saa za zingine naamua kuchukua peni na note book yangu na kuamua, either kukaa somewhere kwenye fresh air, au kwenye mchanganyiko wa watu kuangalia mizunguko na pilika zao.

Nilicho gundua kuwa mind yako inavitu vingi sana ambavyo unaweza faida navyo, tatizo hutoi au hauipi muda wa yenyewe ku manifest zaid ya kuangalia au kusoma wanacho sema wengine,.

Jaribu siku moja kufanya hivyo utakuja gundua mengi.

Lengo la uzi si hilo lakini ni jambo linalo husiana na hilo ukiangalia kwa undani.

Labda nianze na maswali machache, mengine wadau au mwenyew unataweza jiuliza na kujiongeza kichwani.

JE , WEW NI NANI??

IDENTITY AU UTAMBULISHO WAKO NI JINA ULILO PEWA??

UTAMBULISHO WAKO NI DINI?, KABILA?

IKITOKEA UKIBADILI DINI UTAMBULISHO WAKO UTAKUWA NIN??

UKIJIPA AKA AU JINA MBADALA UTAMBULISHO WAKO UTAKUWA MWINGINE??

Kwa kifupi tumekuwa watumwa au kufungwa kimawazo na kiimani, kupigania fake identity, image ya kutengenezewa na watu wanaotuzunguka.

Ukifikiria kwa undani utakuwa hata tabia, mienendo yako ya sasa si yako bali ni ishu unayo tawaliwa na system uliyowekewa na watu waliokupa hiyo fake identity na wewe unaisha kuifata.

Mfano, umezaliwa ukaambiwa wewe ni imani flan au kabila flan. Basi utajifunza njia na jinsi ya kuishi kulingana na hizo imani, why usijifunze kuishi kulingana na nafsi yako ilivyo ndani??

Mwisho wa siku huwezi kuwa full package kabisa au kutumia vipawa vyote ulivyo umbiwa navyo, kwa sababu vimefukia baada ya wewe kuacha your true identity, utambulisho wako halisi na kufata identity walizo weka wengine, kipindi haupo duniani..
.View attachment 490393

Ishi kwa uhuru japo kwa wiki, bila kufungwa na sheria zozote za identity yako, then utaona mengi sana.
Mleta mada mimi naona la muhimu hapo ni kitu kinaitwa masterdating yaani ule uhuru wakujitengea muda wa ww peke yako mfano unaweza panga kutoka out kwenda faragha kwa mazungumzo binafsi ambacho ni kitu wengi hawafanyi, wengi wanajua kwenda out lazma uende na mtu wa ziada, swala la masterdating lawezafanywa kimaandishi na mtu binafsi au kwa mazungumzo yaani unawaza jambo na kulifanyia ufumbuzi kwa sauti au kimyakimya asilimia kubwa ya watu wanafanya hichi kitu lakini hawakitengei muda, nafkiri huu ndio uhuru ambao mtu anaweza kufanya na kujitathmini na kujitambua yeye ni nani na anataka nini ni ngumu kuwa na uhuru wa kuishi unavyotaka kutokana na asili ya mazingira, tabia au imani mfano jina la mtu laweza kubeba tabia ya mtu eg. Masai, mhaya, mchaga huwezi kukimbia asili kwa kutaka kuwa huru asili huwa haibadiliki ....huwezi kuishi huru mazingira, watu, imani au asili lazma ikubadilishe maana hukuamua kuwa ulivyo umejikuta hivyo zaidi utakua unakimbia ukweli..aksante
 
Hapana hata simu zina ID
kwanini usi[ate utambulisho wako
au unataka iutwe Putin au Trump
msije kuwa km Kisandu Deo
fb_img_1491573994733-jpg.492469

Bring Back Del Kisandu.
 
Habari wana jamvi.

Natumai kila mmoja yupo sawa kabisa. Nimekuwa nikijiwekea utaratibu wa siku za weekend nikiwa off duty, kuwa mbali na simu , tv ,pc au kitu chochote cha teknlojia kitacho chukua atention. Saa za zingine naamua kuchukua peni na note book yangu na kuamua, either kukaa somewhere kwenye fresh air, au kwenye mchanganyiko wa watu kuangalia mizunguko na pilika zao.

Nilicho gundua kuwa mind yako inavitu vingi sana ambavyo unaweza faida navyo, tatizo hutoi au hauipi muda wa yenyewe ku manifest zaid ya kuangalia au kusoma wanacho sema wengine,.

Jaribu siku moja kufanya hivyo utakuja gundua mengi.

Lengo la uzi si hilo lakini ni jambo linalo husiana na hilo ukiangalia kwa undani.

Labda nianze na maswali machache, mengine wadau au mwenyew unataweza jiuliza na kujiongeza kichwani.

JE , WEW NI NANI??

IDENTITY AU UTAMBULISHO WAKO NI JINA ULILO PEWA??

UTAMBULISHO WAKO NI DINI?, KABILA?

IKITOKEA UKIBADILI DINI UTAMBULISHO WAKO UTAKUWA NIN??

UKIJIPA AKA AU JINA MBADALA UTAMBULISHO WAKO UTAKUWA MWINGINE??

Kwa kifupi tumekuwa watumwa au kufungwa kimawazo na kiimani, kupigania fake identity, image ya kutengenezewa na watu wanaotuzunguka.

Ukifikiria kwa undani utakuwa hata tabia, mienendo yako ya sasa si yako bali ni ishu unayo tawaliwa na system uliyowekewa na watu waliokupa hiyo fake identity na wewe unaisha kuifata.

Mfano, umezaliwa ukaambiwa wewe ni imani flan au kabila flan. Basi utajifunza njia na jinsi ya kuishi kulingana na hizo imani, why usijifunze kuishi kulingana na nafsi yako ilivyo ndani??

Mwisho wa siku huwezi kuwa full package kabisa au kutumia vipawa vyote ulivyo umbiwa navyo, kwa sababu vimefukia baada ya wewe kuacha your true identity, utambulisho wako halisi na kufata identity walizo weka wengine, kipindi haupo duniani..
.View attachment 490393

Ishi kwa uhuru japo kwa wiki, bila kufungwa na sheria zozote za identity yako, then utaona mengi sana.

Nijuavyo as a human being with the spirit, huwezi kuwa independent, kwa asili binadam lazima awe associated na nguvu flan ambayo ni super power.
 
Ndio maana hata ID zetu fake hapa ni maarufu kwetu kama tumezaliwa nazo,ukiamua unaweza badili vile utakavyo.
Hata leo ndo TUMEJUA NYUMA YA MACONDER KUNA BARSHITE
 
Hofuu na wogaa wa kupokea mawazo mapya elimu mpya kuhusu wewe vikikuutoka haki utajiona kiumbe kipya chenye furaha ha mweli uhuru na amani ya kweli zaman nilikuwa mbishi sana kuhusu haya mambo lakin uelewa wangu ulivyotanuka nkaelewa vzuri wala si kwa. Kukaliri before sjaruhu akili yangu kujua zaidi
Hila nipende kuambia tu. ambao mmejijua ninyi ni nani ni neema hata cjui nieleze vip niseme huu ni wito sio siri. Mnafaidi sana
Ila niwape pole kwa hawa mliolala poleni sana mnamzunguko mgumu mpaka mje siku mgamue your true identity mtajilaumu sana pengine kusema kwann kwann
Kama elimu hii ingekua na lengo baya ungesikia mabaya yakisemwa lakini wanasema vitu vya kukukisaidia uwe na furaha uwe na amani uwe na unconditional love baado tu unabisha cjui itakuaje.........
 
Mkuu ni ngumu kumshawishi mtu kitu ambacho huwezi kukielezea.
 
Hapa ndio ule usemi wa upweke sio kua mbali na watu bali ni kua mbali na wewe wenyewe..unapotimia
 
Hii ipo kinyume na Mungu si ishauri itumike ndivyo sivyo maana wengi wamejikuta mashoga, wasagaji, wauaji na nk kwa sababuu yakujisikiliza wao ni na nani inborn
Thats a lie.....

Hizo tabia mingi zimetokana na watu kupewa identity na jamiii na kuanza kuishi hivo.

Unadhani waliokuwa wakiiishi sodoma wangeishi sehem ingine wangefanya wafanyayo??

Unayo ambiwa , unayo sikiwa, yanaweza kukuweka huru au kukuweka katika Cage...

Ndiio maana, Bible inasema imani chanzo chake ni kusikia na kusikia huja kwa neno la kristo...
Umeona jinsi mazingira yanavyoweza ku induce kitu chema au kibaya , inategemea jinsi unavyo handle......

BIBLE IMESEMA SANA KUHUSU VISION, iman na vitu ka hivyo
 
Back
Top Bottom