Kwa muktadha wa uelekeo yawezekana uko sahihi ila ni nini kilichokufanya ujue ya kwamba huyu analojibu la hilo swali na huyu Hana?Hakuna maandiko wala mahubiri kutoka kwa yoyote yatakayo jibu hili swali kwa niaba ya mtu mwingine.
Hili swali linajibiwa na mtu mwenyewe binafsi na hata huyo mtu akilijua jibu akakwambia still halina maana yoyote kwa anayeambiwa au kusimuliwa. Swali hili majibu yanapatika kwa mtu mwenyewe pekee. Kuna watu nawafahamu hapa Tanzania wana jibu la hili swali lakini jibu hilo linabaki la kwao nami kama mtu lazima nitafute kweli kuhusu swali hili.
nitarudi badae ngoja nimalizie issue moja hivi
Swali nzuri sana, mtoa mada ameeleze suala la safari ya kujitambua. Hivyo nilisema wana jibu la hilo swali wametembea hiyo safari. Lakini kama nilivyosema wao kuniambia wana jibu haina maana yoyote kwangu kwa sababu hilo ni jibu lake. Kitu cha msingi ninachoweza kufanya ni kutembea hiyo safari pia ili nije na jibu langu mwenyewe. So kujibu swali lako ni kwamba sina uhakika na kile walichosema maana hayo wameyatambua woa.Kwa muktadha wa uelekeo yawezekana uko sahihi ila ni nini kilichokufanya ujue ya kwamba huyu analojibu la hilo swali na huyu Hana?
Sasa utumie akili sio vidole na viganja😂nitarudi badae ngoja nimalizie issue moja hivi
Yupo around so usicheze mbali😅akifika nishtue nina ugomvi nae
Upo sahihi ukisema hayo ni yao coz swali limeenda moja kwa moja kwao... Ndio maana swali linasema wewe ni nini.Swali nzuri sana, mtoa mada ameeleze suala la safari ya kujitambua. Hivyo nilisema wana jibu la hilo swali wametembea hiyo safari. Lakini kama nilivyosema wao kuniambia wana jibu haina maana yoyote kwangu kwa sababu hilo ni jibu lake. Kitu cha msingi ninachoweza kufanya ni kutembea hiyo safari pia ili nije na jibu langu mwenyewe. So kujibu swali lako ni kwamba sina uhakika na kile walichosema maana hayo wameyatambua woa.
ujue sipendi kutumia akili😄😄 ila nitajitahidi, ngoja nimalizie kufuaSasa utumie akili sio vidole na viganja😂
awahi tu kabla hasira zangu hazijaishaYupo around so usicheze mbali😅
Usikubali ziishe sasa, huo ni unyonge😅awahi tu kabla hasira zangu hazijaisha
sipo tayali kuwa mnyonge si umeona hata kule kwako sijakubali kutupa kitambaa cheupe😅Usikubali ziishe sasa, huo ni unyonge😅
Ila mwisho wa siku ukatupa 😂😂.sipo tayali kuwa mnyonge si umeona hata kule kwako sijakubali kutupa kitambaa cheupe😅
bado wew ndo ulikimbiaIla mwisho wa siku ukatupa 😂😂.
Uliposema basi nimeshinda nikabeba mkanda wangu wa kibingwa nikaondoka so sijakimbia😂😂bado wew ndo ulikimbia
ukaenda wapi? wakati umeiba😏Uliposema basi nimeshinda nikabeba mkanda wangu wa kibingwa nikaondoka so sijakimbia😂😂
Nikaenda kuzurura mitaa mingine😅😅... Umerusha taulo mwenyewe.ukaenda wapi? wakati umeiba😏
sijarusha bado nimelifunga😎Nikaenda kuzurura mitaa mingine😅😅... Umerusha taulo mwenyewe.