GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,848
- 109,556
Tayari umeshajulikana na Uongozi umeita Wazee Kusoma Kitabu kwa Wachezaji wote Wazawa Washirikina ( wale wale ) wa kutoka Zanzibar waliosoma Kitabu Kipindi kile cha Simba Taliban ( waliokuwa Maadui ) wa Mafanikio ya Klabu ( Simba SC ) na hatimaye akina Ngumi Jiwe Wakafa kwa Ajali Mbaya njiani Mkoani Singida.
Haraka sana nenda kwa huyo Mganga wako wa Kienyeji Milimani Morogoro ulikopelekwa na Kipa Mzawa Mgonjwa ukaichukue kisha kawape Wazee wa Simba SC, Waombe Radhi na Wao watakusaidia Kulimaliza hili na hata Kijana wa Watu Aubin Kramo atakusamehe na nyote mtaendelea Kukipiga Klabuni na kuipa Timu Mafanikio.
GENTAMYCINE nimeamua Kukuonya mapema kwakuwa nawajua hao Wazee wa Kusoma Kitabu ( hasa Dua Kali ) kutokea huko Visiwani Zanzibar walivyo na huwa hawatanii na sitaki kukuona ama Unakufa au unapatwa na Balaa Kubwa.
Na Dogo nae ( Aubin Kramo ) muda Wowote anaruhusiwa kwenda Kwao nchini Ivory Coast hivyo angalia nae asiende Kukulipizia huku Akijiganga vyema na Wewe Mabalaa kuanza Kukuandama kama Mchezaji wa Yanga SC mwenye Kipaji kikubwa Stephane Aziz K nae alipoumizwa Kiushirikina na aliyetetewa na Mama ( Mzanzibari wa Mbagala ) kujikuta kila mara tu anaumia Goti, anakosa Magoli na Haeleweki na aliporejea tu Kwao nchini Burkina Faso huku Tanzania mbaya wake Mkuu nae akaanza Kuchanganyikiwa na kudai huwa anakula Ugali, Tembele na Sukari na kwamba ana Maisha magunu Klabuni.