Wewe dada nakuhurumia... 30 yrs!

Ungetumia busara jinsi ya kufikisha mada yako, umewadhalilisha wanawake, si hao wa 30's tu bali hata hao wa 20's sababu na wao watakao olewa ni wachache wengu watafika huo umri bila mume.

Halafu mapenzi kitu tofauti sana kinachokufurahisha wewe si kinacho mfurahisha mwengine.

Kama chaguo lako ni 20's basi fanya yako usiwazungumzie wengine japo ktk uzi wako umejitoa lakin hayo ni mawazo yako.
 
Kila siku wanawake, wanawake,hv hamchoki wakuu? Inavyoonekana maish hayaendi bila wao
Basi nuwaheshimu japo kdg
 
And you think am a kid right?
okey lets say
unataka nifanyaje!!?
maana nisha kwambia its okey, bado unapanic.
acha hizo bhana, mi ndio nlianzisha mazungumzo nimesema yeshe, go on with what you want.
ebo!!
 
Lengo la ndoa ni tendo la ndoa. Ndiyo maana ukiwa hanithi (jogoo hapandi mtungi) hakuna ndoa.
 
Mm nafkir kwa hizo akil zko we unastahil kuolew, mtt we kiume akil zko ndo zmeishia apo
 
Potelea mbali. Siwezi kuidhulumu nafsi yangu nikae na nungayembe (zee ) kisa naogopa future) . Mla ni mla leo, mala jana kala nn? Aijuaye kesho ni mwenyezi mungu tu.
 
Ukiona kafika 30 kapa ujue ana matatizo huyo. Walihisi wakiolewa mapema watakosa vingi kwa hiyo walikataa waoaji
Bora useme wewe nikisema mm itakuwa nongwa. Mwanamke miaka 30 alikuwa wapi siku zote? Huo mfuko wa mayai bado upo? Na kama upo mzima? Hiyo K ina hali gani? Nigandane na wewe zee watoto wameisha?
 
Acha dharau wew kama umekutana na teja usifikiri wote tupo hivyo
 
Acha dharau wew kama umekutana na teja usifikiri wote tupo hivyo
Siyo dharau mkuu. Miaka 30 mm nimuoe wa kazi gani? Hao watoto wadogo wameisha mtaani?
 
Duuuuuuh polen sana wadada wenye miaka selasini
 
Ww ni mwanaume MJINGA kuliko wote duniani
 
Duuuuuuh polen sana wadada wenye miaka selasini
Wala usiwape pole mkuu. Kwani kuzeeka ugonjwa? Hao washakula maisha tayari. Ukikuta mdada ana 25+ plus hana mtoto basi kawachomoa sana huyo mpk kizazi hakipo?
 
Ww ni mwanaume MJINGA kuliko wote duniani
Ukweli unauma. Nimesema kweli tupu. Mwanmke mwenye 30 kisha zeeka hafai kuolewa. Labda kama mtu anajenga museum anaweza kuoa kwa ajili ya maonyesho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…