Werema: Nina watoto halafu natukanwa?

Werema: Nina watoto halafu natukanwa?

Hivi ukiwa mwizi na ukaitwa mwizi hili nalo ni tusi? Haya ni mapya kwa kweli!

Mijizi ya CCM unafikiri huwa inakubali ....................... ndiyo maana yalipoitwa mafisadi yakaanza kutafuta maana yake nyingine kwenye kamusi ili yajisafishe. Warema mwenyewe wakati anachaguliwa alijifanya hana chama leo ndiyo amekuwa mtali wa mbele kukipigania chama mjengoni. Inawezekana anatafuta pension ya mwishomwisho ................ si unajua tena October 2015 atafungasha virago vyake pia!!??
 
werema amepaniki angejibu hoja kwa hoja na siyo kukumfananisha mwenzio na tumbili werema anatofauti gani na hooligans wa mpira kuwafananisha waafrika na apes apite kuleee kwani kafulila hana family?????
 
Kwa cheo cha warema hakupaswa kutukana wala kua na zıle jazba, nına kıla sababu ya kuona utawala wa jk ulıvyojaa wajınga
 
Chadema wameshamuharibu kafulila kutoa lugha chafu bungeni. Alikuwa ana maadili sana huu muungano wa ukawa utawaharibu na wabunge wa cuf pia. Chadema wanabomoa maadili ya watanzania

Ha ha ha ha afu mkuu kwa id yako nikajua na ww kina NDESHAFOO kumbe umeshawashtukia chama cha Saccoss
 
werema mjuzi wa kejeli, leo kapatikana. Mkubwa jalala hata hilo halijui?

...msomi ni mtu ambaye anaweza kuambiwa ama kusikia chochote na bado asighabike/asikasirike. Kila anachokisikia anafanya utafiti na kupata jibu la kisayansi....''...wewe tumbili tulia nikueleweshe....'' huenda jaji hakuwa na maana mbaya ila hakueleweka haraka. ''...na wewe mwizi...'' Jaji Werema angefanya utafiti wa haraka na kuja na jibu la kisayansi, na namna nzuri ya kurekebisha mambo kwa sababu km ni makosa ya kimatamshi yameanzia kwake. Angeweza kubadili mambo kufanya utani kuliko alivyoghadhibika. Je hakupima matokeo ya tendo lake hilo? Sawa tunaweza kusema alipandwa hasira, je muda huu bado hajajitambua? maana sakata bado linaendelea.

Jaji kadhalilisha usomi wake, uanasheria wake na nafasi yake ktk jamii. Amekosa busara, hekima, maadili na maarifa pia. Alkuwa na nafasi na muda wa kujirekebisha lkn hajafanya hivyo, na bado anakataa kusuluhishwa.

Kwa cheo chake bungeni yeye ni msuluhishi, kama msuluhishi anakataa kusuluhishwa basi nafasi na dhamana aliyonayo haimfai, haimtoshi na sio stahili yake.

Awapishe wenzake. Hii itakuwa fundisho kwa wajao, wanawe na jamii nzima. Ama sivyo rais amwajibishe. Kama kawaida yao hawatafanya lolote kati ya haya kwa sababu ya u-CCM na kulewa madaraka, na ndivyo anavyozidi kuonekana kihalisia kwamba ni mwizi kweli.
 
tatizo la werema anatumia kichwa kufugia nywele tu hiyo ndio tatizo
 
TAFRANI iliyojitokeza bungeni juzi kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Frederick Werema kumuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila(NCCR Mageuzi) tumbili, naye kumjibu kwa kumuita mwizi imeingia katika hatua nyingine ambapo wawili hao wamekataa kusuluhishwa.

hakuna suluhu yoyote na werema bhana , kama MBWAI IWE MBWAI TU ! KWANI KUWA NA WATOTO NDIO TIKETI YA KUVUNJA SHERIA ? NAPENDEKEZA WEREMA APIGWE CHINI J3 ASUBUHI .
 
kwani werema siyo mwizi? yeye na aliyemteua wote we,z.i. siku zote wezi hujuana na kujenga urafiki. big up kafulila. nakusapoti mara milioni kumi, werema mwizi a.k.a. kibaka.
 
werema mjuzi wa kejeli, leo kapatikana. Mkubwa jalala hata hilo halijui?

...msomi ni mtu ambaye anaweza kuambiwa ama kusikia chochote na bado asighabike/asikasirike. Kila anachokisikia anafanya utafiti na kupata jibu la kisayansi....''...wewe tumbili tulia nikueleweshe....'' huenda jaji hakuwa na maana mbaya ila hakueleweka haraka. ''...na wewe mwizi...'' Jaji Werema angefanya utafiti wa haraka na kuja na jibu la kisayansi, na namna nzuri ya kurekebisha mambo kwa sababu km ni makosa ya kimatamshi yameanzia kwake. Angeweza kubadili mambo kufanya utani kuliko alivyoghadhibika. Je hakupima matokeo ya tendo lake hilo? Sawa tunaweza kusema alipandwa hasira, je muda huu bado hajajitambua? maana sakata bado linaendelea.

Jaji kadhalilisha usomi wake, uanasheria wake na nafasi yake ktk jamii. Amekosa busara, hekima, maadili na maarifa pia. Alkuwa na nafasi na muda wa kujirekebisha lkn hajafanya hivyo, na bado anakataa kusuluhishwa.

Kwa cheo chake bungeni yeye ni msuluhishi, kama msuluhishi anakataa kusuluhishwa basi nafasi na dhamana aliyonayo haimfai, haimtoshi na sio stahili yake.

Awapishe wenzake. Hii itakuwa fundisho kwa wajao, wanawe na jamii nzima. Ama sivyo rais amwajibishe. Kama kawaida yao hawatafanya lolote kati ya haya kwa sababu ya u-CCM na kulewa madaraka, na ndivyo anavyozidi kuonekana ni kiuhalisia.

ALIPOWATUKANA WAZENJI tULIUCHUNA , LAKINI SAFARI HII ANANG'OKA ! HAFAI HATA KUWA BWANASHAMBA .
 
Wasiwe na nidhamu kabisa kwa mijizi kama Werema ikiwezekana ijizee kisago tu pambaf!

Werema ni mkurya na wa kurya hawaachi tabia yao ya wizi waliozoea kuibiana ng'ombe huko kwao, sasa Werema yeye kasoma na anafanya kazi ofisini na naona kaamua afanye jaramba la wizi kabla hajastaafu baada ya 2015

pickpocket_thief.jpg
 
Sasa libaba lenyewe likiwa ni bogus ni kwa nini lisitukanwe? Wewe mzazi unatukana mtoto tumbili kesho yake atakutukana panyabuku. Halafu utakimbiza eti mtoto kanitukana wakati matusi umemfundisha wewe? Mbona Ngamia aliita wenzio mbwa na yule mwingine alitaka F u ck You!!!CCM midom michafu na kunuka kama samaki aliyeoza. Watukanwe tu hao.
 
Jaribuni kufikiria kama Werema ndiye angekuwa Raisi wa nchi hii, bila shaka Kikwete hangeona ndani. Wengine tumeshuhudia Raisi wa Taifa Kubwa la Marekani anavyotukanwa na wapinzani wake lakini tofauti na haya ma interahamwe wa bongo yeye anapotezea tu. Hapa ukijaribu tu wewe ndio unapotezewa! Wezi wetu wana kinga maalum, CCM...kambi la umoja wa mafisadi, UWAMA!
 
TAFRANI iliyojitokeza bungeni juzi kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Frederick Werema kumuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila(NCCR Mageuzi) tumbili, naye kumjibu kwa kumuita mwizi imeingia katika hatua nyingine ambapo wawili hao wamekataa kusuluhishwa.
Mwenye cV ya werema tafadhali atuwekee hapa.
 
werema ana maana kuwa kafulila sio mtoto wa mtu alipomuita tumbili?! Asikwepe hoja feza ya escrow ipo wapi au nasi wengine tutalazimika kumuita mwizi vile vile kwa kukwepa hoja.

huo ni ujanja ambao wanataka kuu paisha ili wavuruge mambo muhimu yanayo mkabili ya wizi.werema.
 
Chadema wameshamuharibu kafulila kutoa lugha chafu bungeni. Alikuwa ana maadili sana huu muungano wa ukawa utawaharibu na wabunge wa cuf pia. Chadema wanabomoa maadili ya watanzania

Acha ugoro ndugu, we mpuuzi na tasa wa kufikiri! Angalia chanzo nini ndipo utoe maoni! Issue hapa ni wizi wa fedha za walipa kodi! tetea nchi yako acha kutetea upumbavu na laana.
 
alipowatukana wazenji tuliuchuna , lakini safari hii anang'oka ! Hafai hata kuwa bwanashamba .

inasikitisha sana kama werema ana shindwa kushaulika maana yake yeye ni mwizi kweli na hiyo njia ya kuto kujibu hoja na kuanzisha hoja ndio style yao ccm ili tuu kufifisha hoja ya msingi.
 
Back
Top Bottom