Weledi wa Jeshi la Wananchi JWTZ unapimwaje?

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,027
Reaction score
46,325
weredi wa jeshi lolote duniani upimwa kwa global firepower kulingana vita wanazipigana au kama Hawako vitani basi
1. Walinde Mipaka, ila Mara kadhaa tumeona wahamiaji haramu wengi wako Tanzania wengine kupitia mipakani kinyemera, na pili utoroshwaji wa baadhi ya rasilimali kupitia mipakani umekithiri

2. Walinde Raia(wananchi), Tanzania jeshi lake halilindi raia wao ni kusubiri maelekezo ya wanasiasa tu, na kazi kubwa sana wanayofanya ni kusaka Uniform zao mitaani basi, au kuwagalagaza kwenye maji wananchi wanapotofautiana nao, tumuombe Mungu miaka hii ya Karibuni tusiingie vitani na nchi yeyote hata Rwanda tu, watatugalagaza vibaya mno, jeshini kumekuwa ni kazi si wito tena, mtu ni mwanajeshi kisa kakulia kambini au kisa mtoto wa fulan, ulevi umekithiri, Nina Mifano halisi ya watu zaidi ya 20 walioingia jeshini kwa kuhonga sh 700,000 kila mtu, yaan imekuwa ni dili kupachikana,

Jeshi lingejua wajibu wake hakuna mtu angetekwa, imefika hatua hadi mwanajeshi mwenzao Tesha wamemteka wao wapo tu kung’arisha viatu Kwenda lugalo na kisarawe basi

3. Jeshi linapaswa kushika hatamu kama uongozi wa nchi husika unaenda ndivyosivyo, la kwetu linamlinda muovu wa madaraka
Hivi sasa jeshini kuna machawa Mpaka wanatumia salamu za CCM,

Hivi weredi wa jeshi tutauangalia kwa vigezo gani ?

Britanicca
 
Nadhani ni tofali la block hapo wapo vizuri
pili gwanda wakikukuta raia umevaa jezi yao utapigwa kama mbwa mwizi
tatu ni kuchukua mademu wa raia na ubabe ubabe uklmpiga mmoja wanakuja rundo

Mapimbi hawa
wajeda gani 29oct wakaua raia wao wenyewe mapimbi hawa!
 
weredi wa jeshi lolote duniani upimwa kwa global firepower kulingana vita wanazipigana au kama Hawako vitani basi
1. Walinde Mipaka, ila Mara kadhaa tumeona wahamiaji haramu wengi wako Tanzania wengine kupitia mipakani kinyemera, na pili utoroshwaji wa baadhi ya rasilimali kupitia mipakani umekithiri

2. Walinde Raia(wananchi), Tanzania jeshi lake halilindi raia wao ni kusubiri maelekezo ya wanasiasa tu, na kazi kubwa sana wanayofanya ni kusaka Uniform zao mitaani basi, au kuwagalagaza kwenye maji wananchi wanapotofautiana nao, tumuombe Mungu miaka hii ya Karibuni tusiingie vitani na nchi yeyote hata Rwanda tu, watatugalagaza vibaya mno, jeshini kumekuwa ni kazi si wito tena, mtu ni mwanajeshi kisa kakulia kambini au kisa mtoto wa fulan, ulevi umekithiri, Nina Mifano halisi ya watu zaidi ya 20 walioingia jeshini kwa kuhonga sh 700,000 kila mtu, yaan imekuwa ni dili kupachikana,

Jeshi lingejua wajibu wake hakuna mtu angetekwa, imefika hatua hadi mwanajeshi mwenzao Tesha wamemteka wao wapo tu kung’arisha viatu Kwenda lugalo na kisarawe basi

3. Jeshi linapaswa kushika hatamu kama uongozi wa nchi husika unaenda ndivyosivyo, la kwetu linamlinda muovu wa madaraka
Hivi sasa jeshini kuna machawa Mpaka wanatumia salamu za CCM,

Hivi weredi wa jeshi tutauangalia kwa vigezo gani ?

Britanicca
Aisee mimi kijiji kwetu kuna vijana zaidi ya 50 wameenda jeshini kwa kuhonga 1M na zaidi kisa tu anatoka mkubwa mmoja wa jeshini na mmoja wa siasa.

Wengi walioenda ni wale felia
Vijana wengi wanapitia mgongo wa wana siasa maana ukiwa na ndugu yako ni DAS,DC RAS au RC basi umetoboa JKT ukitoka JKT umetoboa JESHINI.
 
Jwtz ya sasa sio jeshi la wananchi, ni jeshi la kuwalinda watawala dhidi ya wananchi
 
Aisee mimi kijiji kwetu kuna vijana zaidi ya 50 wameenda jeshini kwa kuhonga 1M na zaidi kisa tu anatoka mkubwa mmoja wa jeshini na mmoja wa siasa.

Wengi walioenda ni wale felia
Vijana wengi wanapitia mgongo wa wana siasa maana ukiwa na ndugu yako ni DAS,DC RAS au RC basi umetoboa JKT ukitoka JKT umetoboa JESHINI.
Kweli mkuu kuna siku nilikutana na kundi la Wanajeshi wanafanya mazoezi ya kutembea nilivyowaangali yani Tanzania hatuna jeshi la kupigana na Nchi jirani, Yani Askari wetu wana vimwili vidogo vidogo yani hawana Muonekano wa Kiaskari, Jeshi letu liliishia mwaka 1998 kurudi Nyuma, Kuna dogo aliniambia kuna mzee alimwambia atoe Milioni 4 ili amuingize jeshini dogo akawa hana pesa akaniambia kaambiwa Milioni 4 kwasababu hajapitia JKT , Mgambo na JKU ya Zanzibar. Yana Sasa hivi Majeshi yetu yana Askari wa Mchongo mchongo tu, Yani awamu ya Magufuli aliwapiga pini ya Ukweli hakutaka Majeshi yetu yaokote Vijana mitaani. lakini awamu hii Shamba la bibi kijana yoyte anaingia jeshi na siyo lazima upitie JKT kulima sasa unaweza ukakaa Nyumbani unacheza singeri Ajira zikitangazwa unatoa pesa au kama una mkubwa unaingia Jeshi lolote.
 
Zamani kwenda jeshini kulikua na vigezo vingi sana hasa ukakamavu, uzalendo hukuti jeshini habari za rushwa na kashfa za hovyo.
Siku hizi kama hauna kadi ya CCM, huendi TISS , Hupewi cheo.
Yaani jeshi na greenguard ni ngumu kuwatofautisha vitoto vimerendemka, nikiwa Dodomu kuna mwanajeshi wezi waliingia kwake na akapiga yowe kuomba msaada, zamani ukisikia kwa mjeshi mnaogopa hata kwenda kuiba mboga za majani.
 
Mnavilaimu tu bure vyombo vya ulinzi na Usalama

Ila ukilinganisha takwimu zetu za utekaji na nchi nyingine mfano Mexico na Marekani utaona Tanzania ni heaven kabisa.

Kukua kwa media kumesababisha mijadala kuwa mingi na taarifa nyingi unverified kuwepo mitandaoni.

Mtu anapost unverified story inakuwa consumed hivyo hivyo ilivyo.

Tuwasaidie tu wafanye kazi zao ila hali yetu sio mbaya kuweza kuzua taharuki namna hii mpaka Kuanza kujudge kazi za watu wengine ambao tumewaamini na kuwakabidhi dhamana hizo.
 
weredi wa jeshi lolote duniani upimwa kwa global firepower kulingana vita wanazipigana au kama Hawako vitani basi
1. Walinde Mipaka, ila Mara kadhaa tumeona wahamiaji haramu wengi wako Tanzania wengine kupitia mipakani kinyemera, na pili utoroshwaji wa baadhi ya rasilimali kupitia mipakani umekithiri

2. Walinde Raia(wananchi), Tanzania jeshi lake halilindi raia wao ni kusubiri maelekezo ya wanasiasa tu, na kazi kubwa sana wanayofanya ni kusaka Uniform zao mitaani basi, au kuwagalagaza kwenye maji wananchi wanapotofautiana nao, tumuombe Mungu miaka hii ya Karibuni tusiingie vitani na nchi yeyote hata Rwanda tu, watatugalagaza vibaya mno, jeshini kumekuwa ni kazi si wito tena, mtu ni mwanajeshi kisa kakulia kambini au kisa mtoto wa fulan, ulevi umekithiri, Nina Mifano halisi ya watu zaidi ya 20 walioingia jeshini kwa kuhonga sh 700,000 kila mtu, yaan imekuwa ni dili kupachikana,

Jeshi lingejua wajibu wake hakuna mtu angetekwa, imefika hatua hadi mwanajeshi mwenzao Tesha wamemteka wao wapo tu kung’arisha viatu Kwenda lugalo na kisarawe basi

3. Jeshi linapaswa kushika hatamu kama uongozi wa nchi husika unaenda ndivyosivyo, la kwetu linamlinda muovu wa madaraka
Hivi sasa jeshini kuna machawa Mpaka wanatumia salamu za CCM,

Hivi weredi wa jeshi tutauangalia kwa vigezo gani ?

Britanicca
Hatari sana
 
Back
Top Bottom