Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,640
- 2,649
Niko gado, ila mimi sio mzee mkuu.Una passport mzee?
Bado sijafikisha miaka 45.

Acha uzinzi wewee...Kipindi cha miaka miwili nyuma nilipata demu kwa jina Emmy huyu dada sikumpenda ila nilimtongoza kwakua nilikuwa na uhitaji wa huduma mara kwa mara kabla sijampata mpenzi wa maisha
Emmy alinizoea sana na ndani ya miaka miwili upendo wake kwangu ulikuwa juu sana kuliko awali na akaanza kuzungumzia plan za baadaye na mimi kitu ambacho kilianza kuniwazisha kwan sikuwa na mipango hiyo.
Sasa juzi hapa niliamua kumwandikia message kumwambia mm nategemea kuoa mwakani nimeshapata mtu mwengne aisee huyu dada alilia sana na kutoa lawama mpaka nikajihisi mimi ni shetani yaani kila ninavyojitahidi kumbenbeleza maneno anayoniambia ni yananichina maana alipiga, simu akiwa anaongea analia et "muda wote ulikuwa unanichezea gwele kumbe huna malengo na mimi" yaani najikuta namuonea huruma maana hajanikosea ila simpend tu tayari nina mke wangu mtarajiwa na nampenda sana. Hebu naomba msaada wa kuachana na Emmy na kuziepuka hizi laana nitumie mbinu gani wajameni
Ok sawaNiko gado, ila mimi sio mzee mkuu.
Bado sijafikisha miaka 45.
Sawa, utakuwa mwenyeji wangu.Ok sawa
Njia za panya sio nzr maana utateseka sanaaa
Coz watu wanazamia bahari wanakuwa kama wakimbizi mkikamatwa na marine police wengine ni bangi wanawatosa baharini mliwe na samaki
We fuata utaratibu anzia uhamiaji kisha nenda ubalozi wa Denmark
Pole ubalozini kuna urasimu kidogo watataka sababu za wewe kuja huku
Kipindi cha miaka miwili nyuma nilipata demu kwa jina Emmy huyu dada sikumpenda ila nilimtongoza kwakua nilikuwa na uhitaji wa huduma mara kwa mara kabla sijampata mpenzi wa maisha
Emmy alinizoea sana na ndani ya miaka miwili upendo wake kwangu ulikuwa juu sana kuliko awali na akaanza kuzungumzia plan za baadaye na mimi kitu ambacho kilianza kuniwazisha kwan sikuwa na mipango hiyo.
Sasa juzi hapa niliamua kumwandikia message kumwambia mm nategemea kuoa mwakani nimeshapata mtu mwengne aisee huyu dada alilia sana na kutoa lawama mpaka nikajihisi mimi ni shetani yaani kila ninavyojitahidi kumbenbeleza maneno anayoniambia ni yananichina maana alipiga, simu akiwa anaongea analia et "muda wote ulikuwa unanichezea gwele kumbe huna malengo na mimi" yaani najikuta namuonea huruma maana hajanikosea ila simpend tu tayari nina mke wangu mtarajiwa na nampenda sana. Hebu naomba msaada wa kuachana na Emmy na kuziepuka hizi laana nitumie mbinu gani wajameni
Umempotezea muda emmy kisa huyo mpuuzi ulompata ukiwa na uwezo.
Mungu naomba akupige kiboko, ukimuoa huyo mpya azae mtoto wa x wake, asiwaheshimu wazazi wako, lakini pia ndani asikujali, kazi zote afanye house girl, akutese ndani, atoke na boss wake, simu yake usiiguse uione kama kituo cha police, ukose amani ya ndoa. Utamani kumuacha. Akuvuruge mpaka umpe taraka, hutwo tumali twako mtugawane kati, urudi kama alivyokukuta emmy.
Wote tunao amini maombi haya tuseme ameeeeeena.

Sawa, utakuwa mwenyeji wangu.
Hyo karma itakayokurudia. UtajutaKipindi cha miaka miwili nyuma nilipata demu kwa jina Emmy huyu dada sikumpenda ila nilimtongoza kwakua nilikuwa na uhitaji wa huduma mara kwa mara kabla sijampata mpenzi wa maisha
Emmy alinizoea sana na ndani ya miaka miwili upendo wake kwangu ulikuwa juu sana kuliko awali na akaanza kuzungumzia plan za baadaye na mimi kitu ambacho kilianza kuniwazisha kwan sikuwa na mipango hiyo.
Sasa juzi hapa niliamua kumwandikia message kumwambia mm nategemea kuoa mwakani nimeshapata mtu mwengne aisee huyu dada alilia sana na kutoa lawama mpaka nikajihisi mimi ni shetani yaani kila ninavyojitahidi kumbenbeleza maneno anayoniambia ni yananichina maana alipiga, simu akiwa anaongea analia et "muda wote ulikuwa unanichezea gwele kumbe huna malengo na mimi" yaani najikuta namuonea huruma maana hajanikosea ila simpend tu tayari nina mke wangu mtarajiwa na nampenda sana. Hebu naomba msaada wa kuachana na Emmy na kuziepuka hizi laana nitumie mbinu gani wajameni
Mapenzi ni upofu bro usijiamini saaana kwa huyo mpya ulionae !!! Then kitu kingine midomo ya wengi ikiongea maneno hugeuka Dua Cha kukushauri usimwache huyo Emmy trust me karma humrudia mtendaKipindi cha miaka miwili nyuma nilipata demu kwa jina Emmy huyu dada sikumpenda ila nilimtongoza kwakua nilikuwa na uhitaji wa huduma mara kwa mara kabla sijampata mpenzi wa maisha
Emmy alinizoea sana na ndani ya miaka miwili upendo wake kwangu ulikuwa juu sana kuliko awali na akaanza kuzungumzia plan za baadaye na mimi kitu ambacho kilianza kuniwazisha kwan sikuwa na mipango hiyo.
Sasa juzi hapa niliamua kumwandikia message kumwambia mm nategemea kuoa mwakani nimeshapata mtu mwengne aisee huyu dada alilia sana na kutoa lawama mpaka nikajihisi mimi ni shetani yaani kila ninavyojitahidi kumbenbeleza maneno anayoniambia ni yananichina maana alipiga, simu akiwa anaongea analia et "muda wote ulikuwa unanichezea gwele kumbe huna malengo na mimi" yaani najikuta namuonea huruma maana hajanikosea ila simpend tu tayari nina mke wangu mtarajiwa na nampenda sana. Hebu naomba msaada wa kuachana na Emmy na kuziepuka hizi laana nitumie mbinu gani wajameni

sometimes a fool can be a judge or a lawyer !!! Think forward sio miguuni kwako tu kesho yako inaubwa na watu na Dua zao

Duh.....!Umempotezea muda emmy kisa huyo mpuuzi ulompata ukiwa na uwezo.