Wenzangu mnawezaje kuacha?

Wenzangu mnawezaje kuacha?

Hakuna kazi nyepesi kama kuishi na mtu anayekupenda sana yaan ukimfanyia kitu kidogo tu anafurahi na kuridhika,
Oeni wanaowapenda siyo mnaowapenda. Mkifanikiwa kubwagana namuomba huyo Emmy
Yaani mkuu acha tu yaani hata kitu kidogo tu anaridhika huyu dada ila kumuoa akkili hainipi kabisa nimempata mdada mzuri sana na nampenda mno huyu ndio mke wangu mtarajiwa
 
Mkuu ni mwanamke lakin simpend sana kwakweli japo hajanikosea jambo lolote
Jiandae kisaikolojia mzee lazima utaumizwa na wewe tena na huyo huyo unayempenda piga ua lazima
Hiyo tunaita natural law
Ni suala la muda tuu
Na lazima utamkumbuka emmy wako
Mwanamke ni tabia mzee sio sura wala tako

Jiandae kabsaaaa kuna tukio litakutokea hapo mbeleni
 
Joanah ni bora unisaidie maneno yako na wewe yanazidi kuniumiza na kujiona mkosaji ukweli ni kwamba huyu dada sikuwa na mipango ya kumuoa toka tunaanza mahusiano ila huwezi mueleza mtu jambo kama hilo
Unataka akusaidie nini? Au unataka akuambie uko sahihi ili roho yako ifarijike? Ulichokifanya ni upuuzi, full stop!
 
Dah unazingua kinoma yaani unataka tukusapoti kwa ukatili unaomfanyia mwenzako. Kitakukuta kitu shauri yako
Kauli zako mkuu huojyeshi nia ya kunisaidia kijana mwenzako
 
Jiandae kisaikolojia mzee lazima utaumizwa na wewe tena na huyo huyo unayempenda piga ua lazima
Hiyo tunaita natural law
Ni suala la muda tuu
Na lazima utamkumbuka emmy wako
Mwanamke ni tabia mzee sio sura wala tako

Jiandae kabsaaaa kuna tukio litakutokea hapo mbeleni
Wewe jamaa una maneno mabaya sana ningejua hata nisingesoma comment yako
 
Wewe jamaa una maneno mabaya sana ningejua hata nisingesoma comment yako
Huo ndiyo ukweli mzee kwa sisi tulio somea saikolojia tunaelewa trend inavokuwa
Miezi kumi haitaisha kama hujalia
Formula ya love affair
Ukipendwa sana jitahidi na wewe umpende Hata kama muddy huo Huna upendo kwake
Lakini muda unavoenda utampenda sanaaaaa hadi utajishangaa hivi ni wewe? ? Ulitaka kutupa dhahabu?
 
Mkuu ni mwanamke lakin simpend sana kwakweli japo hajanikosea jambo lolote
Umempotezea muda emmy kisa huyo mpuuzi ulompata ukiwa na uwezo.

Mungu naomba akupige kiboko, ukimuoa huyo mpya azae mtoto wa x wake, asiwaheshimu wazazi wako, lakini pia ndani asikujali, kazi zote afanye house girl, akutese ndani, atoke na boss wake, simu yake usiiguse uione kama kituo cha police, ukose amani ya ndoa. Utamani kumuacha. Akuvuruge mpaka umpe taraka, hutwo tumali twako mtugawane kati, urudi kama alivyokukuta emmy.

Wote tunao amini maombi haya tuseme ameeeeeena.
 
Kimsingi umeamua kuumiza moyo wa mtu kwa makusudi

Nawish binadamu tuwe tunapendana milele,yaani mfano nikianzisha mahusiano na mtu basi ndio awe huyo huyo hadi mpaka kifo

Asa wewe umemkoleza dada wa watu kakupenda kweli halafu unataka kumuacha tena....sio vizuri
muache hana ishu
 
Mwanamke haachwi hivyo dogo.....na ujinga wa shetani haufundishwi darasani........na kama uljua from the beginning,,,,,.usingesimamia kucha....utamu wa mwanamke ni MWANAMUME......ila sio FEDHULI kama wewe..........huyo unyempenda hakupendi.....utakuja tena hapa baada ya fumanizi.....tena kabla hujahalalishiwa....
 
Umempotezea muda emmy kisa huyo mpuuzi ulompata ukiwa na uwezo.

Mungu naomba akupige kiboko, ukimuoa huyo mpya azae mtoto wa x wake, asiwaheshimu wazazi wako, lakini pia ndani asikujali, kazi zote afanye house girl, akutese ndani, atoke na boss wake, simu yake usiiguse uione kama kituo cha police, ukose amani ya ndoa. Utamani kumuacha. Akuvuruge mpaka umpe taraka, hutwo tumali twako mtugawane kati, urudi kama alivyokukuta emmy.

Wote tunao amini maombi haya tuseme ameeeeeena.
Bidada, kwani na wew uliachwa kama emmy?
 
hahahahahahaaaaa.....hii ni laana sio maombi....maombi huwa ya kheri siku zote.....
 
Kipindi cha miaka miwili nyuma nilipata demu kwa jina Emmy huyu dada sikumpenda ila nilimtongoza kwakua nilikuwa na uhitaji wa huduma mara kwa mara kabla sijampata mpenz wa maisha

Emmy alinizoea sana na ndani ya miaka miwili upendo wake kwangu ulikuwa juu sana kuliko awali na akaanza kuzungumzia plan za baadae na mimi kitu ambacho kilianza kuniwazisha kwan sikuwa na mipango hiyo.

Sasa juzi hapa niliamua kumwandikia message kumwambia mm nategemea kuoa mwakani nimeshapata mtu mwengne aisee huyu dada alilia sana na kutoa lawama mpaka nikajihisi mimi ni shetani yaani kila ninavyojitahidi kumbenbeleza maneno anayoniambia ni yananichina maana alipiga, simu akiwa anaongea analia et "muda wote ulikuwa unanichezea gwele kumbe huna malengo na mimi" yaani najikuta namuonea huruma maana hajanikosea ila simpend tu tayari nina mke wangu mtarajiwa na nampenda sana. Hebu naomba msaada wa kuachana na Emmy na kuziepuka hizi laana nitumie mbinu gani wajameni
Mkuu i feel uchungu wa huyo dada emmy malipo ni hapa hapa.

Yaani dada alietoka na wewe mbali tena ukiwa na hali mbaya unamuacha baada ya kuwa na future nzuri, yaani aliekufaa na kukubeba katika dhiki leo hii unamtema baada ya kutoboa ? Unadaka mwingine na kumwamini aliekukuta uishatoboa tayari ? Huyo mpya unaamini atadumu na wewe 100% katika dhiki ? Fikiri mara mbili maamuzi yako mkuu wangu bahati haiji mara mbili.
 
...lau ungejua mapenzi yalipo na yanapoanzia usingeweza au kuwaza kufanya huu ujinga...

Najua kuna ile inner voice inakuambia hvi...hivi ndugu na jamaa watanionaje nikimuoa emmy, afu emmy sio mzur wa sura,afu hana tako sio mweupe..
Lakini emmy ananipenda na ana adabu,pia ni mtamu...nitawezaje kumuacha.

afu inner voice nyingine inamuongelea huyo mwanamke mpya...inasema, huyu ni mzuri kuliko emmy ata nkitembea nae njiana naonekana natembea na chombo kweli, ndugu na jamaa macho yatawatoka lazima wanisifie,mtoto anashepu nzur,tako lipo....naamini ananipenda kuhusu tabia hii tutaelekezana Mana Mimi ndo mwanaume..

Apo kuna inner voice inayoambatana na emotions (mihemko/hisia) hii hutokea ktk moyo na kuna nyengine haiambatani kabsa na emotions hii hutokea ktk ubongo...ndo pale unaweza mpenda mtu lakini usiwe na hisia nae au unaweza ukampenda mtu lakini ukikaa peke ako nafsi inakusuta yaani ubongo unamkataa kabisa..

Yaani kuna muda ubongo na moyo hutofautia ktk kutoka ushirikiano kwa wenza tunao wapenda...wengi huuamini moyo katka kufanya maamuzi na wachache sana huuamini ubongo ktk kufanya maamuzi...
Apo Sasa ndo tunasema don't let your emotions control your thinking...
Moyo wenye kupitisha damu Safi na chafu huna sifa ya unafiki.....huamini sna ubongo hutojuta katka maisha yako.....mke wako ni kitulizo cha akili yako..

Sijui umenielewa mkuu...
 
Yaani mkuu acha tu yaani hata kitu kidogo tu anaridhika huyu dada ila kumuoa akkili hainipi kabisa nimempata mdada mzuri sana na nampenda mno huyu ndio mke wangu mtarajiwa
Hahahahaa eti umempata mdada mzuriii hongera kwa hilo,
ila watajie umri wako wanaokushauri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom