Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,077
- 7,420
Akifanya hivyo unamuacha unachukua mwingine, quite simplyUmempotezea muda emmy kisa huyo mpuuzi ulompata ukiwa na uwezo.
Mungu naomba akupige kiboko, ukimuoa huyo mpya azae mtoto wa x wake, asiwaheshimu wazazi wako, lakini pia ndani asikujali, kazi zote afanye house girl, akutese ndani, atoke na boss wake, simu yake usiiguse uione kama kituo cha police, ukose amani ya ndoa. Utamani kumuacha. Akuvuruge mpaka umpe taraka, hutwo tumali twako mtugawane kati, urudi kama alivyokukuta emmy.
Wote tunao amini maombi haya tuseme ameeeeeena.
