tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 12,055
- 16,509
Unaweza kunipa number ya emmy mkuu?Siwezi kataa huu ukweli mkuu
Unaweza kunipa number ya emmy mkuu?Siwezi kataa huu ukweli mkuu
Kwanza hukuwa na sababu ya kumwambia jambo kama hili kwenye simu katka maisha chchte kinaweza kutokea kwahyo kama una relation na mtu na imeshindwa kuworkout lazima kuelewa ungemwita mahali tulivu kabisaaa na kumwelezea tena kwa upole mnoo huku ukitumia convincing power ya kumfanya aamini hiyo relation haiwez kuworkout kwa sababu kadhaa wa kadhaa huku ukimtia moyo sababu umemdispoint kumtia moyo ingemsaidia kumweka sawa ili achukulie ni kitu cha kawaida hamna sababu ya kuchukiana kila mtu haijui kesho yakeKipindi cha miaka miwili nyuma nilipata demu kwa jina Emmy huyu dada sikumpenda ila nilimtongoza kwakua nilikuwa na uhitaji wa huduma mara kwa mara kabla sijampata mpenzi wa maisha
Emmy alinizoea sana na ndani ya miaka miwili upendo wake kwangu ulikuwa juu sana kuliko awali na akaanza kuzungumzia plan za baadaye na mimi kitu ambacho kilianza kuniwazisha kwan sikuwa na mipango hiyo.
Sasa juzi hapa niliamua kumwandikia message kumwambia mm nategemea kuoa mwakani nimeshapata mtu mwengne aisee huyu dada alilia sana na kutoa lawama mpaka nikajihisi mimi ni shetani yaani kila ninavyojitahidi kumbenbeleza maneno anayoniambia ni yananichina maana alipiga, simu akiwa anaongea analia et "muda wote ulikuwa unanichezea gwele kumbe huna malengo na mimi" yaani najikuta namuonea huruma maana hajanikosea ila simpend tu tayari nina mke wangu mtarajiwa na nampenda sana. Hebu naomba msaada wa kuachana na Emmy na kuziepuka hizi laana nitumie mbinu gani wajameni
Bado kidogo huyo mke mtalajiwa ataanza kukufanyia makida makida uanze kulia wewe!Kipindi cha miaka miwili nyuma nilipata demu kwa jina Emmy huyu dada sikumpenda ila nilimtongoza kwakua nilikuwa na uhitaji wa huduma mara kwa mara kabla sijampata mpenzi wa maisha
Emmy alinizoea sana na ndani ya miaka miwili upendo wake kwangu ulikuwa juu sana kuliko awali na akaanza kuzungumzia plan za baadaye na mimi kitu ambacho kilianza kuniwazisha kwan sikuwa na mipango hiyo.
Sasa juzi hapa niliamua kumwandikia message kumwambia mm nategemea kuoa mwakani nimeshapata mtu mwengne aisee huyu dada alilia sana na kutoa lawama mpaka nikajihisi mimi ni shetani yaani kila ninavyojitahidi kumbenbeleza maneno anayoniambia ni yananichina maana alipiga, simu akiwa anaongea analia et "muda wote ulikuwa unanichezea gwele kumbe huna malengo na mimi" yaani najikuta namuonea huruma maana hajanikosea ila simpend tu tayari nina mke wangu mtarajiwa na nampenda sana. Hebu naomba msaada wa kuachana na Emmy na kuziepuka hizi laana nitumie mbinu gani wajameni
Wewe ni kenge blue!!Kuwa mchepuko hataki na mbaya zaidi tulianza nikiwa na hali mbaya now kidogo mambo safi anahisi namuacha kwa sababu hiyo
Kipindi unamtongoza Emmy mke mtarajiwa alikuwa wapi?Kuwa mchepuko hataki na mbaya zaidi tulianza nikiwa na hali mbaya now kidogo mambo safi anahisi namuacha kwa sababu hiyo
Ndio najaribu kuwaza hapa, Mchizi alikua anapataje hisia hadi anadidinsha kwa huyo dada, mbali na hilo... Alikua anatoaje wazungu kama hampendi huyo binti au wakati wa kukojoa alikua hisia anazi danganya yuko na huyo mke wake mtarajiwa....!?Sasa ndugu ujawezaje kufanya mapenzi na mtu usiyempenda
Namna ya kumuacha mkuu ilikuwa ngumu wala alikuwa hanikosei katika kipindi hicho zaidi zaidi mimi ndio nilikuwa namkwaza lakini ni mvumilivu sana emmyUlikuwa humpendi afu umedumu naye miaka miwiliduh...
Utaoa ambaye hakupendi ndo uanze kukumbuka upendo wa huyu Emmy. Haukuwa na haja ya kukaa nae muda wote huo Kama hukumpenda..
Kitu kipi kinakufanya uamini huyu wa sasa ni sahihi zaidi ya aliyepita?Ilikuwa bado mkuu sijampata nimempata hivi karibunii
mwambie 'tulichezeana'muda wote ulikuwa unanichezea
Daah nimekuelewa mkuu...lau ungejua mapenzi yalipo na yanapoanzia usingeweza au kuwaza kufanya huu ujinga...
Najua kuna ile inner voice inakuambia hvi...hivi ndugu na jamaa watanionaje nikimuoa emmy, afu emmy sio mzur wa sura,afu hana tako sio mweupe..
Lakini emmy ananipenda na ana adabu,pia ni mtamu...nitawezaje kumuacha.
afu inner voice nyingine inamuongelea huyo mwanamke mpya...inasema, huyu ni mzuri kuliko emmy ata nkitembea nae njiana naonekana natembea na chombo kweli, ndugu na jamaa macho yatawatoka lazima wanisifie,mtoto anashepu nzur,tako lipo....naamini ananipenda kuhusu tabia hii tutaelekezana Mana Mimi ndo mwanaume..
Apo kuna inner voice inayoambatana na emotions (mihemko/hisia) hii hutokea ktk moyo na kuna nyengine haiambatani kabsa na emotions hii hutokea ktk ubongo...ndo pale unaweza mpenda mtu lakini usiwe na hisia nae au unaweza ukampenda mtu lakini ukikaa peke ako nafsi inakusuta yaani ubongo unamkataa kabisa..
Yaani kuna muda ubongo na moyo hutofautia ktk kutoka ushirikiano kwa wenza tunao wapenda...wengi huuamini moyo katka kufanya maamuzi na wachache sana huuamini ubongo ktk kufanya maamuzi...
Apo Sasa ndo tunasema don't let your emotions control your thinking...
Moyo wenye kupitisha damu Safi na chafu huna sifa ya unafiki.....huamini sna ubongo hutojuta katka maisha yako.....mke wako ni kitulizo cha akili yako..
Sijui umenielewa mkuu...
Dah!! Umekosea Sana kumtamkia hivyo.Namna ya kumuacha mkuu ilikuwa ngumu wala alikuwa hanikosei katika kipindi hicho zaidi zaidi mimi ndio nilikuwa namkwaza lakini ni mvumilivu sana emmy
Mkuu nipe 'connection' nataka nije DenmarkJiandae kisaikolojia mzee lazima utaumizwa na wewe tena na huyo huyo unayempenda piga ua lazima
Hiyo tunaita natural law
Ni suala la muda tuu
Na lazima utamkumbuka emmy wako
Mwanamke ni tabia mzee sio sura wala tako
Jiandae kabsaaaa kuna tukio litakutokea hapo mbeleni
Mkuu nipe 'connection' nataka nije Denmark