Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 34,954
- 80,256
HahaKwa kuruka viunzi hujambo..
Sasa Yule mchagga hajanikuta hapa
HahaKwa kuruka viunzi hujambo..
Pole mwenza, we tubaki tu kwa mume wetu. Huyu wa wengi.Usiniambie mimi mchepuko basi nilijua mimi ndo main chick
Akakununulie ile mansion
Mzazi anayajitambua hawezi kumpenda mtoto eti kisa ANAMJALI. Mzazi wa hivyo na wa mwendokasi na yupo kimaslahi kwa mtoto wake.Unaweza usiwe na mapene ya kumjaza kama ulivyosema hapo juu.... Ila onyesha kuwa unamjali kwa kumlisha, kumvisha, hakikisha analala pahala bora kama ni kwa budget utakayopanga wewe au Mara unapopata mpunga wa ziada .... Hata kama ana uwezo wa kulijisha na kuvaa.... Onyesha kuwa unamu-appreciate kwa VITENDO.... Sio kwa porojo pekee kwa kumpigia simu.... Sababisha pia na haya ambayo nimekushauri.... Trust me utaona mabadiliko.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akakununulie ile mansion
Ooooh! Basi sawa.Huyu undugu wetu haumuhusu yeye afanye na ayatimize vyema yaliyomleta kwetu.
Too late eeh? Kwa hiyo sasa hivi siwezi kubadili chochote? Nakubaliana na wewe hapo kwenye pesa ila niligundua mama ananichukulia hivi tangu nikiwa nasomaWakati mnatakiwa kujenga bond ya upendo ulikuwa mbali na yeye and now it's too late.
Hata hivyo, wazazi wetu baadhi nao wamekuwa wapenda pesa sana, usipompa kwa mda(kwa sababu na wewe unajijenga kiuchumi), anaweza kuhisi humpendi ndio maana humkumbuki kwa mbesa.
Yeah, could be too late to bond labda uwe mo, manji au bakhressa. Wajua wazazi wanawapenda watoto wenye pesa automatically!!!Too late eeh? Kwa hiyo sasa hivi siwezi kubadili chochote? Nakubaliana na wewe hapo kwenye pesa ila niligundua mama ananichukulia hivi tangu nikiwa nasoma
Duuh uogope kuwapigia wazazi kisa unaogopwa kuombwa pesa?Wazazi wakiwa na hela mbona stori sitakuja tu. Wakiwa ndu vile unaogopa hata kuwapigia wasikuombe hela, aaaacha acha hizo bhana timiza wajibu kwa wazee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sitaki.
Wazazi wakiwa na hela mbona stori zitakuja tu. Wakiwa ndu vile unaogopa hata kuwapigia wasikuombe hela, aaaacha acha hizo bhana timiza wajibu kwa wazee
Kuna vijana wenzetu wanaishi maisha ya kuiga, kipato kidogo wanajifanya mapapaa wakiombwa hela na wazazi wanazima simu wanasingizia chaji imekata au wako busy kazini duh aibuuuuuuuDuuh uogope kuwapigia wazazi kisa unaogopwa kuombwa pesa?
Mtu wa namna hii hata urafiki naye staki maana atakuwa mwongo mwongo tu.
Mzazi anatakiwa ajue hali yako na ukweli aujue.
Umzimie mzazi simu kisa kuombwa hela? Mimi huwa ni muwazi sana kwa wazazi wanguKuna vijana wenzetu wanaishi maisha ya kuiga, kipato kidogo wanajifanya mapapaa wakiombwa hela na wazazi wanazima simu wanasingizia chaji imekata au wako busy kazini duh aibuuuuuuu
Mbaya Sana maana ukiweza kuwa msanii kwa mzazi basi hakuna utakaloshindwa kudanganya.Kuna vijana wenzetu wanaishi maisha ya kuiga, kipato kidogo wanajifanya mapapaa wakiombwa hela na wazazi wanazima simu wanasingizia chaji imekata au wako busy kazini duh aibuuuuuuu